Tabia na kasumba ya kutegemea mtu mmoja kuwa kila kitu katika chama imekighalimu Chadema na wafuasi wake.

Sasa hivi wameishiwa pumzi za kisiasa na hawana tambo na wamekuwa kama yatima wa kisiasa. Hawajui juu ya future yao kisiasa itakuwaje?

My take; Ni wazi kuwa Chadema kuna mfumo wa one man band, mfumo ambao umewakwamisha kwa miaka 20. Waachana nao kabisa.
 
DG wa TISS anahusika vipi na kukamatwa kwa Mbowe na polisi? TISS imehusika wapi kwenye lile tukio, nani alikuwa hajui kama Mbowe yuko ukumbini mpaka watumie wanausalama kujua. Hii ni issue ya polisi na wao wameagizwa
Proof
 
Kuna jamaa wa pale jikoni kabisa waliwekewa mitego wakanasa na wameshatimuliwa kazi mmoja wapo alikuwa msaidizi wa karibu kabisa wa asumani. (Hawa ndio walikuwa wanampa na yule jamaa kule twiter za jikoni jikoni ndio maana saa hivi unaona habari mpya zimepungua).
Naomba niisbie hapo
Da njoo dm mkuu inatakiwa ujengewe sanamu jamaa karb na Diwan alikuwa na cheo gan na kwa nn hajauliwa
 
Siasa usipokuwa makini maneno yako mwenyewe yanaweza kukuzika mwenyewe.Mngeacha tu mambo ya serikali yajiendeshe yenyewe maana na hata kuwekana wanawekana wenyewe.Utachagua lakini walioikalia serikali watamweka wanaemtaka yeye.Sasa wewe digdig unaacha kukazana na kuitawala familia yako kiuchumi ilmradi nawe uwepo wako home uonekane...umekazana mama samia mama samia.Mnajiumiza bure tu.
Unapaswa kutunukiwa degree ya ufalsafa. Umenena Mkuu.
 
Wewe Barafu unaamini Tz kuna intelligence? Hii inayoruhusu ma ded wezi kurudishwa kwenye u ded? Ovyo kabisa
 
Ule ulinzi wote ilikuwaje mtu kama Mbowe ahusike na kifo kirahisi hivyo? Wallah ukiwa ccm tu akili unakuwa umemwachia mtu wewe unabaki na fuvu tupu.
Ww akl zp matakn ushaambiw kn wt wndani wlkw wnahusika na wmfkzw Kaz huelw
 
Back
Top Bottom