Uchaguzi upi ulimchagua magufuli? Mwananchi yupi? Kura zipi? Tume upi? Hakuna uchaguzi Tanzania kilichofanyika ni CCM kuulawiti kuubaka kuunajisi uchaguzi mkuu kwa njia haramu za kishetani tu
Hilo ndo lilowaponza, mlishindwa kusoma alama za nyakati, hakuna mwananchi wa kawaida 2020 angeacha kumpigia kura JPM, hizo chuki na mitusi yenu mitandaoni kwa wachache mlonyooshwa mkajidanyanya na bado mnajidanganya ndo wananchi mlifail na mnafail sana.
 
samia afanye udikteta tu lakini mashirika ya Kimataifa na Nchi za wafadhili zikiamua kutotoa mikopo na misaada kutokana na nchi kukosa demokrasi hapo ndiyo Watanzania watatia akili kichwani kwani ugumu wa maisha utaongezeka mara tatu ya ilivyo sasa na Serikali itakuwa haina jinsi bali kupitisha fagio la chuma Serikalini litakalosomba Wafanyakazi wengi sana.
Lini awamu ya 5 mashirika haya yalisitisha misaada yao?!!!

1)USAID

2)DANIDA

3)NORAD

4)GTZ

Na mengineyo?!!
 
Ukishika mkia wa mnyama mkali lazima akushughulikie. Ukikaribishwa sebuleni usifanye haraka kutaka kuingia chumbani bali subiri ukaribishwe chumbani baadaye. Vingenevyo unaweza ukafikiriwa kwamba wewe ni mwizi kumbe siyo. Hekima inatakiwa unapotekeleza- mikakati ya kukabiliana na adui/mshindani wako. Amemlazimisha mama kwenda maili nyingi. Ajiandae !

Kwa taarifa yako hata mama wa kambo hatakuwa salama sana, ni kweli katiba hii dhaifu itampa mama wa kambo nguvu ya vyombo vya dola kwa muda, lakini ukweli hautakuwa upande wake, hivyo itamcost hata yeye.
 
Nchi ilikuwa imeanza kwenda vizuri lakini wajinga wachache kwa masilahi yao badala ya masilahi ya kitaifa wameamua kumshauri mama afanye udikiteta wapate kutimiza lengo lao, mama kuwa makini na washauri wako maana sasa wanaenda kukuharibia sifa zako zote
 
Nani kakudanganya vyama vya upinzani ni CHADEMA? mnajiita chama kikuu cha upinzani na hamna hata wabunge, chama cha upinzani kinacholazimisha vurugu ambazo wananchi hawaziungi mkono wafadhili gani hao wataokisikiliza? kama JPM licha ya kuwakalia kooni na kuingilia maslahi yao hao mabeberu bado akihitaji mkopo walimpa sembuse huyu mama alowalegezea?
True say
 
Hilo ndo lilowaponza, mlishindwa kusoma alama za nyakati, hakuna mwananchi wa kawaida 2020 angeacha kumpigia kura JPM, hizo chuki na mitusi yenu mitandaoni kwa wachache mlonyooshwa mkajidanyanya na bado mnajidanganya ndo wananchi mlifail na mnafail sana.

Wapiga kura hawakufika 10m, lakini Magufuli aliagiza atangazwe kwa kura 12m+! Kama huamini ingia tovuti ya tume ya uchaguzi kama hayo matokeo yapo.
 
Wewe kweli mpuuzi hata kinachoendelea nchini hukijui. Mara ngapi yule Mpango alikuwa akilalamika kuhusu mchango wa nchi za wafadhili na mashirika ya umma kupunguza misaada na mikopo yao hivyo kuathiri bajeti? Unaishi dunia ipi wewe? Kuandika ujinga ujinga kila leo kumbe hujui hata yanayojiri nchini!!!

Lini awamu ya 5 mashirika haya yalisitisha misaada yao?!!!

1)USAID

2)DANIDA

3)NORAD

4)GTZ

Na mengineyo?!!
 
Kwa taarifa yako hata mama wa kambo hatakuwa salama sana, ni kweli katiba hii dhaifu itampa mama wa kambo nguvu ya vyombo vya dola kwa muda, lakini ukweli hautakuwa upande wake, hivyo itamcost hata yeye.
Kwa kilichofanyika mwanza kufunga barabara kuwashusha wananchi kwenye mabasi kuwakamata kuwapiga kumsafisha mbowe kwa gharama kubwa kwenda huko Dsm kumsachi tu ni Aibu na fedheha kwa utawala wa mama na tayari Nchi imepata Doa kwenye jumuia za kimataifa
 
Wapiga kura hawakufika 10m, lakini Magufuli aliagiza atangazwe kwa kura 12m+! Kama huamini ingia tovuti ya tume ya uchaguzi kama hayo matokeo yapo.
Hahaha..hizo story zenu za vikao vya kahawa hazina nafasi katika ulimwengu wa leo, mother kawashtukia, mlijaribu kumgombanisha na the majority ili wapige kura za hasira 2025, pambaneni huenda akakengeuka tena.
 
Wewe kweli mpuuzi hata kinachoendelea nchini hukijui. Mara ngapi yule Mpango alikuwa akilalamika kuhusu mchango wa nchi za wafadhili na mashirika ya umma kupunguza misaada na mikopo yao hivyo kuathiri bajeti? Unaishi dunia ipi wewe? Kuandika ujinga ujinga kila leo kumbe hujui hata yanayojiri nchini!!!
Kwa hiyo wewe MWEREVU unamaanisha Dr.Mpango alisema wahisani na mashirika ya kimataifa WAMETOA SABABU kuipunguza misaada yao kutokana na SERIKALI kukikandamiza CHADEMA/WAPINZANI na si MLIPUKO WA CORONA ?!!!
 
Lini awamu ya 5 mashirika haya yalisitisha misaada yao?!!!

1)USAID

2)DANIDA

3)NORAD

4)GTZ

Na mengineyo?!!
Wewe utakuwa ni mnufaika wa uonevu kwa wapinzani ndiyo maana umejitoa fahamu zote na kujiandikia chochote tu pasipo hata kufikiria kwanza , Tambua kuwa uonevu unyanyasaji uovu mateso kwa wananchi na wapinzani haijawahi kuwa suluhu ya kutawala kwa Amani
 
Kwa kilichofanyika mwanza kufunga barabara kuwashusha wananchi kwenye mabasi kuwakamata kuwapiga kumsafisha mbowe kwa gharama kubwa kwenda huko Dsm kumsachi tu ni Aibu na fedheha kwa utawala wa mama na tayari Nchi imepata Doa kwenye jumuia za kimataifa
Mnafanya kitu maksudi mkijua kabisa nini kitatokea na madhara yake mnayajua then mnakuja kutuandikia huku mitandaoni ili iweje? tushazoea sasa na watanzania si wajinga wanaona nani adui anayekwamisha maendeleo yao.
 
Wewe utakuwa ni mnufaika wa uonevu kwa wapinzani ndiyo maana umejitoa fahamu zote na kujiandikia chochote tu pasipo hata kufikiria kwanza , Tambua kuwa uonevu unyanyasaji uovu mateso kwa wananchi na wapinzani haijawahi kuwa suluhu ya kutawala kwa Amani
Minyoo toka mama AAPISHWE wewe hujawahi kumlalamikia chochote humu ndani....

Baada ya tu Mh.Mbowe kutokewa na hayo...haraka USIKU huu umeikimbilia JF....

Leo nimetambua kuwa wewe nawe UMNUFAIKA WA SIASA UPEPO ,SIASA MATUKIO ZA MRENGO WA MAANDAMANO ,MIGOMO NA VURUGU 🤣🤣

Karibu tena mkuu ...
 
Hahaha..hizo story zenu za vikao vya kahawa hazina nafasi katika ulimwengu wa leo, mother kawashtukia, mlijaribu kumgombanisha na the majority ili wapige kura za hasira 2025, pambaneni huenda akakengeuka tena.
Wewe ndiyo upo kwenye vijiwe vya kahawa unajidanganya huko ukifikiri wengine ni wajinga kama wewe, mama kashitukia nini? Hakuna cha kugombanishwa hapo wananchi walikuwa poa tu, acheni kutengeneza mazingira ya kujinufaisha kupitia uonevu unyanyasaji uovu mateso kwa wapinzani kwa visingizio vya kijinga jinga tu
 
Hahaha..hizo story zenu za vikao vya kahawa hazina nafasi katika ulimwengu wa leo, mother kawashtukia, mlijaribu kumgombanisha na the majority ili wapige kura za hasira 2025, pambaneni huenda akakengeuka tena.

Kwenye tovuti ya tume ni kijiwe cha kahawa? Mama wa kambo anaweza kutumia mabavu ya dola, ila hoja iko wapo ni jambo linalomuweka kwenye wakati mgumu hadi sasa. Anaweza kutii matakwa ya kundi lake la ccm kwani urais wake ni wa kurithi, lakini tayari ameshabonyeza kitufe kigumu kwake.
 
Mnafanya kitu maksudi mkijua kabisa nini kitatokea na madhara yake mnayajua then mnakuja kutuandikia huku mitandaoni ili iweje? tushazoea sasa na watanzania si wajinga wanaona nani adui anayekwamisha maendeleo yao.
Watanzania wapi unawasemea? Kitu gani kimefanywa makusudi? Kulikuwa na vurugu yeyote kwenye konganano? Hakuna Mtanzania mjinga ataona kuna Uadui tokea upinzani zaidi ya kutambua kuwa Mama kaingizwa chaka na nyinyi kwa njia haramu za kishetani
 
Aisee we jamaa mpumbavu sana!!! Kwani kuwepo demokrasi Tanzania inahusu Chadema tu!? Ngoja nikutoe ujinga mpuuzi wewe. Demokrasi inahusu Watanzania kuwa na haki na uhuru wa kuchagua Viongozi tuwatakao kuanzia Madiwani, Wabunge na Rais badala ya wahuni kupora uchaguzi na kutuwekea wahuni wasio na sifa. Inahusu haki na uhuru wa Watanzania kuikosoa Serikali bila hofu wala woga wakati wowote na mahali popote, inahusu uhuru na haki ya vyombo vya habari kutenda kazi zake za kila siku bila woga wa kutekwa au kufungiwa eti kwa kusema kweli kuhusu maovu ya Serikali. Inahusu uhuru na haki ya mahakama kufanya kazi zake bila kuingiliwa na yoyote yule Serikalini ili maamuzi yafanywe vile atakavyo huyo dikteta hata kama hakuna ushahidi ili Watanzania wasio na hatia wabambikiwe kesi FEKI za uchochezi, ugaidi au uhujumu uchumi. Inahusu uhuru na haki ya vyama vya siasa kufanya shughuli zake ikiwemo mikutano ya ndani, maandamano na mikutano ya hadhara bila uhuru na haki hiyo kuingiliwa na yeyote yule.

Acha kuonyesha ujuha wako hadharani.

Back
Top Bottom