Freeman Mbowe ashiriki Ibada ya kumuaga Prof. Mwesigwa Baregu

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,562
217,884
Mbowe ameshiriki Ibada hiyo katika Kanisa la KKKT usharika wa Kunduchi Beach.

Hayati Mzee Baregu alikuwa Mjumbe Mstaafu wa Kamati kuu ya Chadema.

No_Hate_No_Fear’s_Instagram_post:_“Leo_Juni_18,_2021_Mwenyekiti_wa_Chadema_Taifa_Mhe._@freeman...jpg

BAVICHA_&_CHASO_on_Instagram:_“Mwenyekiti_wa_Chadema_Taifa_Mhe._@freemanmbowetz_akiwa_ndan...jpg
 
Itakuwa msafara umepita huku Kinyerezi maana nimeona jeneza lenye bendera ya CDM na king'ora cha polisi mbele itakuwa ndiyo mwili unapelekwa airport
 
Back
Top Bottom