Freeman Mbowe apingwa na mpinzani wake!

Sir John

Senior Member
Aug 19, 2010
177
1
Bwana Fuya Kimbita wa CCM amesema hakubaliani na matokeo ya kumpa Mbowe ushindi.
Yeye na chama chake wanajadili namna ya kupinga mahakamani!
Source:
:: IPPMEDIA
 
CCM wanaogopa mwiba huo Bungeni na kazi wanayo, hana adabu kwanza mbowe anaweza kuchakachukua kwani yeye chama tawala? ana hata access na hizo box za kura?
 
Wanataka balance na kesi za CHADEMA ionekane CCM nao wameonewa sasa sijui wameonewa na NANI?
 
CCM wanaogopa mwiba huo Bungeni na kazi wanayo, hana adabu kwanza mbowe anaweza kuchakachukua kwani yeye chama tawala? ana hata access na hizo box za kura?
Well said mkuu..
 
Wanataka balance na kesi za CHADEMA ionekane CCM nao wameonewa sasa sijui wameonewa na NANI?
Huyu Kimbita Kwanza bungeni for 5yrs hakuongea cha maaana kuhusu jimbo la hai!yeye ilikua ni club 84 dodoma.
 
fuya kimbita anajaribu kujimaliza mwenyewe, alisababisha mkurugenzi wa hai bwana mtega akfukuzwa kazi, eti alikataa kutoa 100m za halmashauri badala ya kujenga barabara zimsaidie yeye kuingia bungeni. sasa amekalia majungu. kwa taarifa yake angeikaa kimyaa. arudi kwenye kampuni yake ya ukandarasi ya GFG INVESTNMENT, AMBAYO WA-DED WAMESHAPIGIANA SIMU NCHI ZIMA ASIPEWE KAZI MAHALI POPOTE NCHINI KWA KUMGHARIMU MWENZAO
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom