Freeman Mbowe ameitendea haki miaka 60 ya Uhuru, kama siyo yeye Dar es Salaam washamba wangekuwa wengi

Ujinga ni kile kitendo cha kuwabambikia kesi wapinzani kutengeneza kesi feki za ugaidi ambao haupo na haujawahi kuwepo,kufanya pingu mikono miguu saa 24 kuwatesa kuwapiga waseme ugaidi ambao haupo ni mateso mabaya kupata kutokea Nchini tangu Tanzania ipate uhuru wake
Mkuu nilichomaanisha kwamba ni ujinga ni huo uzi wa Johnthebaotist kwa sababu namfahamu kwa unafiki wake. Kwa nini asione mambo makubwa kuliko hayo ya muziki? Kati ya mambo makubwa ambayo Mbowe ameyafanya ni kutengeneza taasisi imara kabisa ya kisiasa kuliko taasisi zote nchini na hata Afrika na taasisi hiyo inaitwa CHADEMA. Kutoka kuwa chama kisichokuwa na mgombea urais mpaka kuwa chama kikuu cha upinzani ambacho kimepitia kwenye majaribio mbalimbali ya kukiangamiza ila bado kimeendelea kuwa imara kuliko wakati wowote ule. Hili ndilo la kuweza kumkumbuka kamanda mkuu Mbowe kwa hii miaka sitini.
 
Back
Top Bottom