Freeman Mbowe aingia Kanda ya Kusini, ni katika Mkakati unaondelea wa Operesheni Haki

Mwenyekiti wa Chadema Mwamba Freeman Mbowe anaendelea na kampeni ya kuhamasisha upatikakanaji wa Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi , kampeni hiyo imebatizwa jina la Operesheni Haki .

Anatarajiwa kuongoza vikao kadhaa vya Mashauriano ndani ya Kanda hiyo.

Pichani Mwamba Mwenyewe akisaini Kitabu cha Wageni baada ya kuwasili kwenye Ofisi za Kanda hiyo.

expand...
Mbowe huyu katili muongo dikteta tapeli la kisiasa ni wa kumhurumia sana maana ameshasomwa mbinuu zake zoote woote wamemsaliti akae tu alee wajukuu miaka 61 unahangaika kwwenye hamna counter attack atakayofanyiwa na CCM atamkumbuka JPM kwamba bora nilipata mbunge mmoja na madiwani viti maalumu 19 CHADEMA imemalizika hivyo na kama hawaamini wasuburie watakachofanyiwa na CCM YA wajuaji tayari katibu mwenezi ameshawqruka ukiona hvy ujue ni sauti kutoka juu
 
Kwnn isiwezekane ubunge anshinda kwa wingi wa kura na si asilimia za kura inawezekana hata kukosa kabisa. Imagine kila Jimbo uzidiwe hata kura mojamoja unaweza ukawa na kura nyingi kwa hesabu lakini usiwe na mbunge hata mmoja. Sasa kutoka kura m6 Hadi 2 hapo mnapanda au kushuka?
ID za kimkakati za kuhujumiana ccm , huna lolote tushakujua nje ndani , Kapuku we ! endelea kutumika
 
Mwenyekiti wa Chadema Mwamba Freeman Mbowe anaendelea na kampeni ya kuhamasisha upatikanaji wa Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi , kampeni hiyo imebatizwa jina la Operesheni Haki .

Anatarajiwa kuongoza vikao kadhaa vya Mashauriano ndani ya Kanda hiyo.

Pichani Mwamba Mwenyewe akisaini Kitabu cha Wageni baada ya kuwasili kwenye Ofisi za Kanda hiyo.

Nilisema KWA yanayoendelea CHADEMA Kuna watu wataanza ingea peke yao njiani, nakumbuka wimbo WETU wa

CCM SI MNAONA,MZIKI WA CHADEMA MTAWEZA WAPI!

Mkuu Kama Iyo ngoma unayo tupia apa , ccm mwaka huu , watapasuka KWA stress
 
Mbowe huyu katili muongo dikteta tapeli la kisiasa ni wa kumhurumia sana maana ameshasomwa mbinuu zake zoote woote wamemsaliti akae tu alee wajukuu miaka 61 unahangaika kwwenye hamna counter attack atakayofanyiwa na CCM atamkumbuka JPM kwamba bora nilipata mbunge mmoja na madiwani viti maalumu 19 CHADEMA imemalizika hivyo na kama hawaamini wasuburie watakachofanyiwa na CCM YA wajuaji tayari katibu mwenezi ameshawqruka ukiona hvy ujue ni sauti kutoka juu
Tuwaombee marehemu , tusiwaseme vibaya.
 
Mwenyekiti wa Chadema Mwamba Freeman Mbowe anaendelea na kampeni ya kuhamasisha upatikanaji wa Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi , kampeni hiyo imebatizwa jina la Operesheni Haki .

Anatarajiwa kuongoza vikao kadhaa vya Mashauriano ndani ya Kanda hiyo.

Pichani Mwamba Mwenyewe akisaini Kitabu cha Wageni baada ya kuwasili kwenye Ofisi za Kanda hiyo.

Mwamba huyu Mungu amuweke. Si kwa energy hii aisee
 
Mbowe huyu katili muongo dikteta tapeli la kisiasa ni wa kumhurumia sana maana ameshasomwa mbinuu zake zoote woote wamemsaliti akae tu alee wajukuu miaka 61 unahangaika kwwenye hamna counter attack atakayofanyiwa na CCM atamkumbuka JPM kwamba bora nilipata mbunge mmoja na madiwani viti maalumu 19 CHADEMA imemalizika hivyo na kama hawaamini wasuburie watakachofanyiwa na CCM YA wajuaji tayari katibu mwenezi ameshawqruka ukiona hvy ujue ni sauti kutoka juu
Dikiteta kafa
 
Mwenyekiti wa Chadema Mwamba Freeman Mbowe anaendelea na kampeni ya kuhamasisha upatikanaji wa Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi , kampeni hiyo imebatizwa jina la Operesheni Haki .

Anatarajiwa kuongoza vikao kadhaa vya Mashauriano ndani ya Kanda hiyo.

Pichani Mwamba Mwenyewe akisaini Kitabu cha Wageni baada ya kuwasili kwenye Ofisi za Kanda hiyo.

Hii oparesheni kwa sasa watu wanaweza kuiona ya kawaida, lakini in the near future itazaa matokeo makubwa sana kwa chama

Chadema huwa wanaangalia mbali sana, let alone ccm ambao huwa wanawaza teuzi tu
 
Back
Top Bottom