Freeman Mbowe afika KCMC kumjulia hali Katibu wa Chadema aliyevunjwa miguu na mikono na wasiojulikana

Jitu zima ovyoooo umezalilisha akili yako
Hivi wasomi watz hatuna kingine cha kufanya kweli badala ya kushupalia siasa?

Utakuta jitu ni lihitimu chuo kikuu cha Dar es salaam kitivo cha uhandisi na teknolojia "coet" haliwez hata kutengeneza kalavat likisha unga unga msosi wa mchana linatafuta kivuli kuongelea siasa/kumlaumu magu.......

Umri haungoji mtu angalieni!!!
 
Acha uzushi..hapo alikuwa hajavunjwa miguu hata mikono au
BREAKING NEWS:-
Katibu mwenezi wa CHADEMA wilaya ya Hai (Pichani) amechezea kichapo kikali baada ya kufumaniwa na mke wa mtu akivunja amri ya 6 ya Mungu katika Guest House moja alfajir leo huku hai
Hata hivyo dakika chache kabla CHADEMA walitaka kusambaza taarifa kuwa *AMETEKWA* kama wanavyofanyaga ili kuzichafua taasisi nyingine huku wakijua kwamba WAMETEKWA.... Habari zaidi inakuja

Ndio huyu walimuandika juzi kuwa amefumaniwa?
Zipi habari sahihi?Alitekwa au alifumaniwa?
Apone haraka arejee kwenye majukumu yake.....
 
Hivi wasomi watz hatuna kingine cha kufanya kweli badala ya kushupalia siasa?

Utakuta jitu ni lihitimu chuo kikuu cha Dar es salaam kitivo cha uhandisi na teknolojia "coet" haliwez hata kutengeneza kalavat likisha unga unga msosi wa mchana linatafuta kivuli kuongelea siasa/kumlaumu magu.......

Umri haungoji mtu angalieni!!!
Mbona cjaona mahali alipolaumiwa Magu?...Acheni kujihami bwana, kwani ni nani mgeni Tanzania hii na Siasa chafu za ccm?
 
Mzushi Mimi au huyo mwandishi aloandika hicho nilichokopi?
Mimi mjumbe nataka usahihi wa hii habari maana upande mmoja unasema alifumaniwa na mwingine alitekwa...nini sahihi?
Acha uzushi..hapo alikuwa hajavunjwa miguu hata mikono au
 
29297.jpg

njoo nikupime kiwuno
Okay tumekusikia kibaraka wa mabeberu!
 
Hivi umezaliwa na kukulia kijijini kwenu analetwa MTU toka hukooo anakuja kukuvunjavunja hapo kijijini kwenu kisa kitugani?? Visasi vikianza kulipwa nchi itafika pabaya sana. Tuilinde amani na tumwombe Mungu atujaalie amani
 
View attachment 1177888

Mwenyekiti wa Chadema na Kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani bungeni Mh Freeman Mbowe , amefika kwenye Hospitali ya KCMC kumjulia hali Katibu wa Chadema jimbo la Hai ambaye alitekwa na kuvunjwa mguu na mkono na wanaoitwa watu wasiojulikana .

Ikumbukwe kwamba Mkuu wa Ulinzi na Usalama wa Wilaya ya Hai ambaye pia ni DC wa Wilaya hiyo , mwenye kashfa ya kuomba rushwa wafanyabiashara anaitwa Ole Sabaya
Hope anaendelea vyema na matibabu.
Wasiojulikana tunawaombea laana na vizazi vyao.Shwain
 
Utakuta yeye ndio kamsukia raketi halafu anavunga kufakumjulia hali,unafiki mtupu tu hapo
View attachment 1177888

Mwenyekiti wa Chadema na Kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani bungeni Mh Freeman Mbowe , amefika kwenye Hospitali ya KCMC kumjulia hali Katibu wa Chadema jimbo la Hai ambaye alitekwa na kuvunjwa mguu na mkono na wanaoitwa watu wasiojulikana .

Ikumbukwe kwamba Mkuu wa Ulinzi na Usalama wa Wilaya ya Hai ambaye pia ni DC wa Wilaya hiyo , mwenye kashfa ya kuomba rushwa wafanyabiashara anaitwa Ole Sabaya
 
Dah hizi siasa zingine hizi bora kuacha tu

Hivi ni kuumiza familia tu ikose hela ya mboga
Haya yalikuwa yanatokea nchi jirani: Kenya, Burundi, Rwanda, nk.
Watu walionya mapema kuwa watu wanachzea amani ya nchi; wakaona ni utani!
Kwa mtindo huu, ambapo watu wasiojulikana hawajawahi kufikishwa mbele ya sheria, kanuni ya jino kwa jino haiko mbali.
 
Back
Top Bottom