Freeman Mbowe afika KCMC kumjulia hali Katibu wa Chadema aliyevunjwa miguu na mikono na wasiojulikana

View attachment 1177888

Mwenyekiti wa Chadema na Kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani bungeni Mh Freeman Mbowe , amefika kwenye Hospitali ya KCMC kumjulia hali Katibu wa Chadema jimbo la Hai ambaye alitekwa na kuvunjwa mguu na mkono na wanaoitwa watu wasiojulikana .

Ikumbukwe kwamba Mkuu wa Ulinzi na Usalama wa Wilaya ya Hai ambaye pia ni DC wa Wilaya hiyo , mwenye kashfa ya kuomba rushwa wafanyabiashara anaitwa Ole Sabaya
Mnaficha nini wakati alifumwa ugoni?,shenzi zake,angeuwawa tu
 
Hivi wasomi watz hatuna kingine cha kufanya kweli badala ya kushupalia siasa?

Utakuta jitu ni lihitimu chuo kikuu cha Dar es salaam kitivo cha uhandisi na teknolojia "coet" haliwez hata kutengeneza kalavat likisha unga unga msosi wa mchana linatafuta kivuli kuongelea siasa/kumlaumu magu.......

Umri haungoji mtu angalieni!!!
Usomi wenu ni ubatili mtupu kama mna siasa mbovu, ndo utakutana na maprofesa wanao lilia kueuliwa kuwa wakuu wa mikoa/wilaya,.........
 
Unajua maana ya siasa?
 
ili tuwaache wasiojulikana Mtambe??
 
View attachment 1177888

Mwenyekiti wa Chadema na Kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani bungeni Mh Freeman Mbowe , amefika kwenye Hospitali ya KCMC kumjulia hali Katibu wa Chadema jimbo la Hai ambaye alitekwa na kuvunjwa mguu na mkono na wanaoitwa watu wasiojulikana .

Ikumbukwe kwamba Mkuu wa Ulinzi na Usalama wa Wilaya ya Hai ambaye pia ni DC wa Wilaya hiyo , mwenye kashfa ya kuomba rushwa wafanyabiashara anaitwa Ole Sabaya
pole sana Kamanda
 
wasiojulikana, waache wafurahiedunia lakini kabla hawajafa Kisukar, stroke, figo zitaoza watalala vitandani miaka miwili huku.wakijinyea, vidonda tele mwilini, kutapika, vichwa vikiuma .....malipo ni hapahapa duniani, Karma haidanganyi, wajifunze kwa waliotangulia.
Dua la kuku hilo
 
View attachment 1177888

Mwenyekiti wa Chadema na Kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani bungeni Mh Freeman Mbowe , amefika kwenye Hospitali ya KCMC kumjulia hali Katibu wa Chadema jimbo la Hai ambaye alitekwa na kuvunjwa mguu na mkono na wanaoitwa watu wasiojulikana .

Ikumbukwe kwamba Mkuu wa Ulinzi na Usalama wa Wilaya ya Hai ambaye pia ni DC wa Wilaya hiyo , mwenye kashfa ya kuomba rushwa wafanyabiashara anaitwa Ole Sabaya
Wake za watu ni noma hatari sana tuwemakini
 
Magenta ya MAFIA juke USA, ile miaka ya 60 - 70s, waliokuwa wakitaka kutuma message ya tishio kubwa, waliitumia staili hii. Breaking legs and arms. HER YOU NDIYO STAILI MPYA YA VITISHO ITAKAYOENDELEA KUTUMIKA.
 
Usomi wenu ni ubatili mtupu kama mna siasa mbovu, ndo utakutana na maprofesa wanao lilia kueuliwa kuwa wakuu wa mikoa/wilaya,.........
Hahaaa kama Kinana, Nape, Makamba Family, JK et al wanalaumu tena kinyago chao ijekuwa wewe ambaye hujui hata kura zake za maoni alizopata pale Kizota 😂, Bro acha uzwazwa ase wenye kinyago walishasema kimekengeuka.
 
Hivi wasomi watz hatuna kingine cha kufanya kweli badala ya kushupalia siasa?

Utakuta jitu ni lihitimu chuo kikuu cha Dar es salaam kitivo cha uhandisi na teknolojia "coet" haliwez hata kutengeneza kalavat likisha unga unga msosi wa mchana linatafuta kivuli kuongelea siasa/kumlaumu magu.......

Umri haungoji mtu angalieni!!!
kuna mtu mmoja mzito sana nchini ana Phd ya kemia. nasikia chapisho lake la kupata Phd lilihusu utafiti wa kisayansi kuhusu maganda ya korosho.

sasa tuanze na huyu. hata dawa tu kawaida ya kupunguza wadudu kama nzi pale ikulu kashindwa kutengeneza.
 
Back
Top Bottom