kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 14,075
- 15,903
Ni wasi wasi tu kwa uwajibikaji wao makhsusi kwa wananchi ndio unawatisha nyinyi!
wote wawili watavuna wanachopanda
wote wawili watavuna wanachopanda
Kuomba rushwa kwa wafanyabiashara ndio uwajibikaji Mahsusi ?Ni wasi wasi tu kwa uwajibikaji wao makhsusi kwa wananchi ndio unawatisha nyinyi!
Mnaficha nini wakati alifumwa ugoni?,shenzi zake,angeuwawa tuView attachment 1177888
Mwenyekiti wa Chadema na Kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani bungeni Mh Freeman Mbowe , amefika kwenye Hospitali ya KCMC kumjulia hali Katibu wa Chadema jimbo la Hai ambaye alitekwa na kuvunjwa mguu na mkono na wanaoitwa watu wasiojulikana .
Ikumbukwe kwamba Mkuu wa Ulinzi na Usalama wa Wilaya ya Hai ambaye pia ni DC wa Wilaya hiyo , mwenye kashfa ya kuomba rushwa wafanyabiashara anaitwa Ole Sabaya
Kama na wewe ukisha pata msosi wa kuungaunga na elimu yako ya udsm hua unatafuta kivuli kumlaumu Magufuli,pumbavu zako sanaumeandika utumbo kabisa. Think Big acha kuwa mpumbavu wa kias hiki.
Usomi wenu ni ubatili mtupu kama mna siasa mbovu, ndo utakutana na maprofesa wanao lilia kueuliwa kuwa wakuu wa mikoa/wilaya,.........Hivi wasomi watz hatuna kingine cha kufanya kweli badala ya kushupalia siasa?
Utakuta jitu ni lihitimu chuo kikuu cha Dar es salaam kitivo cha uhandisi na teknolojia "coet" haliwez hata kutengeneza kalavat likisha unga unga msosi wa mchana linatafuta kivuli kuongelea siasa/kumlaumu magu.......
Umri haungoji mtu angalieni!!!
Unajua maana ya siasa?Hivi wasomi watz hatuna kingine cha kufanya kweli badala ya kushupalia siasa?
Utakuta jitu ni lihitimu chuo kikuu cha Dar es salaam kitivo cha uhandisi na teknolojia "coet" haliwez hata kutengeneza kalavat likisha unga unga msosi wa mchana linatafuta kivuli kuongelea siasa/kumlaumu magu.......
Umri haungoji mtu angalieni!!!
ili tuwaache wasiojulikana Mtambe??Hivi wasomi watz hatuna kingine cha kufanya kweli badala ya kushupalia siasa?
Utakuta jitu ni lihitimu chuo kikuu cha Dar es salaam kitivo cha uhandisi na teknolojia "coet" haliwez hata kutengeneza kalavat likisha unga unga msosi wa mchana linatafuta kivuli kuongelea siasa/kumlaumu magu.......
Umri haungoji mtu angalieni!!!
wasiojulikana, waache wafurahiedunia lakini kabla hawajafa Kisukar, stroke, figo zitaoza watalala vitandani miaka miwili huku.wakijinyea, vidonda tele mwilini, kutapika, vichwa vikiuma .....malipo ni hapahapa duniani, Karma haidanganyi, wajifunze kwa waliotangulia.Huyu mkuu wa ulinzi na usalama ni mtu wa kutiliwa mashakaView attachment 1177917
pole sana KamandaView attachment 1177888
Mwenyekiti wa Chadema na Kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani bungeni Mh Freeman Mbowe , amefika kwenye Hospitali ya KCMC kumjulia hali Katibu wa Chadema jimbo la Hai ambaye alitekwa na kuvunjwa mguu na mkono na wanaoitwa watu wasiojulikana .
Ikumbukwe kwamba Mkuu wa Ulinzi na Usalama wa Wilaya ya Hai ambaye pia ni DC wa Wilaya hiyo , mwenye kashfa ya kuomba rushwa wafanyabiashara anaitwa Ole Sabaya
Kumbe mnawafaham, kwanini msiwachinje wao? Kwanini mkwachinje ndugu zao? Akili ya nyumbu bhana. Unaujua mlango ulipo, unaingilia dirishani.Hao wasiojulikana dawa yao ni kuchinja ndugu zao
Dua la kuku hilowasiojulikana, waache wafurahiedunia lakini kabla hawajafa Kisukar, stroke, figo zitaoza watalala vitandani miaka miwili huku.wakijinyea, vidonda tele mwilini, kutapika, vichwa vikiuma .....malipo ni hapahapa duniani, Karma haidanganyi, wajifunze kwa waliotangulia.
Pole sana Kamanda mzinzi!pole sana Kamanda
Wake za watu ni noma hatari sana tuwemakiniView attachment 1177888
Mwenyekiti wa Chadema na Kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani bungeni Mh Freeman Mbowe , amefika kwenye Hospitali ya KCMC kumjulia hali Katibu wa Chadema jimbo la Hai ambaye alitekwa na kuvunjwa mguu na mkono na wanaoitwa watu wasiojulikana .
Ikumbukwe kwamba Mkuu wa Ulinzi na Usalama wa Wilaya ya Hai ambaye pia ni DC wa Wilaya hiyo , mwenye kashfa ya kuomba rushwa wafanyabiashara anaitwa Ole Sabaya
nikutajie mfano utawajua na wengine ni ndugu zangu wa damu, tiss ni taassis ya serikali kuna majirani, ndugu na marafiki zetu humo acha umbulula.Dua la kuku hilo
Kwa nini na yeye wasimfanyizie?Huyu mkuu wa ulinzi na usalama ni mtu wa kutiliwa mashakaView attachment 1177917
Aisee!!!!Alifumaniwaje bila mwanamke wala mme wa huyo mwanamke ? jiongeze baba , Lwajabe tuliambiwa kajinyonga huku akiwa kavaa fulana mpya ambayo wanyongaji walimvisha !
Hahaaa kama Kinana, Nape, Makamba Family, JK et al wanalaumu tena kinyago chao ijekuwa wewe ambaye hujui hata kura zake za maoni alizopata pale Kizota 😂, Bro acha uzwazwa ase wenye kinyago walishasema kimekengeuka.Usomi wenu ni ubatili mtupu kama mna siasa mbovu, ndo utakutana na maprofesa wanao lilia kueuliwa kuwa wakuu wa mikoa/wilaya,.........
Mpashe juha huyoSiasa ni maisha , Kabudi pamoja na kuzeekea UDSM lakini kuingizwa kwenye siasa akadai kaokotwa jalalani !
kuna mtu mmoja mzito sana nchini ana Phd ya kemia. nasikia chapisho lake la kupata Phd lilihusu utafiti wa kisayansi kuhusu maganda ya korosho.Hivi wasomi watz hatuna kingine cha kufanya kweli badala ya kushupalia siasa?