Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,373
- 217,432
Mwenyekiti wa Chadema na Kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani bungeni Mh Freeman Mbowe , amefika kwenye Hospitali ya KCMC kumjulia hali Katibu wa Chadema jimbo la Hai ambaye alitekwa na kuvunjwa mguu na mkono na wanaoitwa watu wasiojulikana .
Ikumbukwe kwamba Mkuu wa Ulinzi na Usalama wa Wilaya ya Hai ambaye pia ni DC wa Wilaya hiyo , mwenye kashfa ya kuomba rushwa wafanyabiashara anaitwa Ole Sabaya