Freeman Mbowe afika KCMC kumjulia hali Katibu wa Chadema aliyevunjwa miguu na mikono na wasiojulikana

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
116,495
215,349
FB_IMG_1565455899661.jpg

Mwenyekiti wa Chadema na Kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani bungeni Mh Freeman Mbowe , amefika kwenye Hospitali ya KCMC kumjulia hali Katibu wa Chadema jimbo la Hai ambaye alitekwa na kuvunjwa mguu na mkono na wanaoitwa watu wasiojulikana .

Ikumbukwe kwamba Mkuu wa Ulinzi na Usalama wa Wilaya ya Hai ambaye pia ni DC wa Wilaya hiyo , mwenye kashfa ya kuomba rushwa wafanyabiashara anaitwa Ole Sabaya
 
Hivi wasomi watz hatuna kingine cha kufanya kweli badala ya kushupalia siasa?

Utakuta jitu ni lihitimu chuo kikuu cha Dar es salaam kitivo cha uhandisi na teknolojia "coet" haliwez hata kutengeneza kalavat likisha unga unga msosi wa mchana linatafuta kivuli kuongelea siasa/kumlaumu magu.......

Umri haungoji mtu angalieni!!!
 
Siasa ni maisha , Kabudi pamoja na kuzeekea UDSM lakini kuingizwa kwenye siasa akadai kaokotwa jalalani !
 
View attachment 1177888

Mwenyekiti wa Chadema na Kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani bungeni Mh Freeman Mbowe , amefika kwenye Hospitali ya KCMC kumjulia hali Katibu wa Chadema jimbo la Hai ambaye alitekwa na kuvunjwa mguu na mkono na wanaoitwa watu wasiojulikana .

Ikumbukwe kwamba Mkuu wa Ulinzi na Usalama wa Wilaya ya Hai ambaye pia ni DC wa Wilaya hiyo , mwenye kashfa ya kuomba rushwa wafanyabiashara anaitwa Ole Sabaya
So sad
 
Hivi wasomi watz hatuna kingine cha kufanya kweli badala ya kushupalia siasa?

Utakuta jitu ni lihitimu chuo kikuu cha Dar es salaam kitivo cha uhandisi na teknolojia "coet" haliwez hata kutengeneza kalavat likisha unga unga msosi wa mchana linatafuta kivuli kuongelea siasa/kumlaumu magu.......

Umri haungoji mtu angalieni!!!
umeandika utumbo kabisa. Think Big acha kuwa mpumbavu wa kias hiki.
 
View attachment 1177888

Mwenyekiti wa Chadema na Kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani bungeni Mh Freeman Mbowe , amefika kwenye Hospitali ya KCMC kumjulia hali Katibu wa Chadema jimbo la Hai ambaye alitekwa na kuvunjwa mguu na mkono na wanaoitwa watu wasiojulikana .

Ikumbukwe kwamba Mkuu wa Ulinzi na Usalama wa Wilaya ya Hai ambaye pia ni DC wa Wilaya hiyo , mwenye kashfa ya kuomba rushwa wafanyabiashara anaitwa Ole Sabaya
Mdude wa chadema alipolazwa Mbowe hakwenda kumwona .Chadema Ina wenyewe.Akina Mdude mlie tu
 
Hivi wasomi watz hatuna kingine cha kufanya kweli badala ya kushupalia siasa?

Utakuta jitu ni lihitimu chuo kikuu cha Dar es salaam kitivo cha uhandisi na teknolojia "coet" haliwez hata kutengeneza kalavat likisha unga unga msosi wa mchana linatafuta kivuli kuongelea siasa/kumlaumu magu.......

Umri haungoji mtu angalieni!!!

Huyo Magu mbona yeye hatoki kwenye siasa sasa ana 20yrs+ akawaachia wengine yeye akaendelee na hizo fursa anazohubiri? Au yeye hana hiyo elimu ya chuo kikuu?
 
9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom