Freeman = Free mason?

President Elect

JF-Expert Member
Aug 9, 2011
693
212
Siku za hivi karibuni kumekuwa na kushabihisha sana alama ya vidole viwili ya CDM na ile inayotumiwa na memba wa freemason.

Kuna haja ya kuweka wazi mahusiano haya kama yapo au la. Kazi kwenu viongozi wa CDM.
 
Hayo ni mambo yake mwenyewe. u Freemason wake sisi utatusaidia nini?
 
acha upimbi wewe. Kila kitu freemason, kila kitu freemason...unaijua wewe au unabipu? Alama ya 'V' stands for 'victory' na hujumika na watu wote. Haina ufreemason....
'Freeman' haina uhusiano na freemason. Free+mason(stone/rock). Katika neno 'freemason' neno 'mason' ndio kubwa na lina maana kubwa na sio free. So ukiondoa neno 'mason' unapoteza maana.
 
Kama ulishawahi kusikia huko nyuma, CDM ni 'jiwe'! Umenijibu vema; mason=rock=stone=jiwe, hivyo freemason=jiwe-huru.

Hapo nimekuelewa, kuna kahusiano kwa mbaaali. Pia vidole viwili=V, na hii ni alama kubwa ya freemason, ila kwa CDM wao V=victory?

Aulizaye ataka kujua, tujuze zaidi tupambanue pumba na mchele.
 
Mambo yake mwenyewe!?No way.,Yanatuhusu kwa sababu mtu akishakuwa Freemason anakuwa muovu sana.Atajifanya kutenda mema mbele ya watu lakini nyuma ya pazia ni muovu kupindukia na ana-angamiza watu.Unajua wakati mwingine hili wazo hata mimi linanijia,ingawa labda hakuna connection.Lakini ukizingatia historia ya familia yake,there is reason to be suspicious.
Hayo ni mambo yake mwenyewe. u Freemason wake sisi utatusaidia nini?
 
Pia vidole viwili=V, na hii ni alama kubwa ya freemason, ila kwa CDM wao V=victory?

kila alama inayotumika na freemasons ina maana na asili yake. Naomba unijuze maana ya alama hii na asili yake ktk imani ya freemason.

Ngoja nikuambie kitu, alama ya nyundo ktk freemason, ni alama inayomaanisha kukubali utawala wa lucifer na kupinga mitume, 'ndio maana bible inasema..alipigiliwa kwa 'nyundo' pale msalabani..' so ina maana ya kupinga mitume wa kikristu, chek katika nyimbo ya jay z on to the next one, ameonyesha nyundo ina damu, pia katika album yake ya blueprit 3, amekaa juu ya sanduku lenye vifaa vya ujenzi pembeni kuna nyundo, ndio maana, walimsema yupo katika imani ya kishetani. Ukitengeneza alama ya 'X' kwa kifaa kama nyundo, panga, shoka unamaanisha unamkubali shetani kwakuwa freemason wanamuita 'the great artchecture of the universe' so vifaa vya ujenzi kupangwa au kuchorwa na kukaa kama alama ya 'X' ni kumkubali lusifer na kumpinga Yesu. Je CCM wana alama hiyo?
 
Freeman=!FreeMason.
Jaribu kutumia ubongo sio kuropoka tu.
 
Kama ulishawahi kusikia huko nyuma, CDM ni 'jiwe'! Umenijibu vema; mason=rock=stone=jiwe, hivyo freemason=jiwe-huru.

Wanaitwa Freemasonry

Free= huru
masonry=wajenzi

Freemasonry= Wajenzi huru

Wanatumia alama ya Bikali na Square yenye alama ya "G" katikati, maana ya nje inaconotate ujenzi lakini alama ya ndani inamaanisha Kukutana kwa mwanamke na mwanamume, ambapo alama G inaleta maana halisi yaani, Generative Principles.

Nilichogundua ni kwamba Freemasons wameweka wazi sana habari zao. Nahisi ni attempt ya kuchanganya watu kuwa nini hasa maana na kusudi lake. Kwahiyo nilazime uwe makini sana unapochukuachukua habari zao, kwani nyingi zinalenga kuficha ukweli wao wa msingi. Kunasource yao wenye, kama msaafu wao, sijui umekuwaje available online! unaitwa Morals and Dogmas. Unaweza ukagoogle ukaipata. Muandishi wake anaitwa Albert Pike.

Mimefuatila habari zao, na source ambayo ninaamini inatoa genuine and honest analysis inapatikana, Amazing Discoveries | Walter Veith | Victor Gill

Kuhusiana na CDM sijui, nakusihi upitia web nilokupa, unaweza ukapata nuru zaidi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom