Freedom Recruitment

yenyewe

JF-Expert Member
Feb 1, 2014
621
94
Habari za asubuhi wana jukwaa?

Anayewajua hawa watu wanaitwa "Freedom Recruitment" naoma anijuze wakoje, wanafanyaje kazi zao na wanaaminika kiasi gani. Nimetumiwa written interview na hawa jamaa lakin nimeona ni vyema niwajue vizuri kabla ya kuchukua muda wangu na kujibu maana sio kazi ndogo.

Natanguliza shukrani
 
Hata mimi walinitumia ni watu ambao wanafanya bishara ya mtandao kama vile forever living , GNLD .n.k wanakutumia message katika simu yako, ( namba yako ya simu wanapewa na wa watu wanaokujua na ambao wameshajiunga) hio message inakua ni tangazo la kazi ambapo wanakuandikia na mshahara wao ambao ni 2 millions - 10 millions per month, kisha wanakuambia utume cv yako, baada ya siku chache watakutumia email ambayo wame attach kitabu cha rich Dad poor dad ili ukisome chote na uweze ku summarize kila chapter na uandike umejifunza nini, lengo lao ni wewe uwe na mawazo ya kujiajiri na kuacha kutegemea kuajiriwa,( ndio maudhui ya hiki kitabu? ukisha hamasika na maudhui ya kitabu unajiunga na mtandao wao kulingana na bidhaa wanazouza. Kwa ufupi wanafanya Market networking.
 
Asante sana nimekuelewa. Ngoja niifanye tu kama kujaribu
 
Unapesa ya kujiunga? Hao ni forever living. Andaa laki 4 za kununua products ili ujiunge.
 
ni forever living hao.si wamekutumia kitabu cha Robert kisoyaki...poor dad rich dad..
 
Dah ukishajiunga unanufaikaje sasa?

Unavyo alika watu zaidi wanaingizwa kwwnye circle yako alafu katika transaction yoyote watakayo fanya wana kupa wwe percent yake....its paying if you have the actibve members lakini kama ukiwa na watu wasiojielewa utaishia kulia tu
 
Back
Top Bottom