Freedom is coming Tommorrow

ubongokid

JF-Expert Member
Apr 30, 2017
2,017
3,870
Kesho dunia itajifunza kitu kuhusu Tanzania;

Kesho tutajua iwapo imani ya Tanzania ni matokea ya uwoga wa watanzania kwa serikali yao katili au ni matokeo ya siasa safi,haki,utu,na utamaduni tuliojizoesha.

Kwa matazamo wangu,Iwapo CCM itashinda kwenye uchaguzi wa kesho basi yafuatayo ni sahihi kuhusu sisi watanzania.Ushindi wa CCM utathibisha kuwa serikali yetu ni ya kibabe isiyotenda haki,itathibitsha kuwa watnzania ni waoga sana,itathibitisha kuwa watanzania ni wajinga na itathibitisha kuwa Tanzania ili ibadilika na kuwa na maendeleo chanya itahitaji kumwaga damu,tena damu nyingi isiyokuwa na hatia.Hakutakiwa na njia mbadala isipokuwa hiyo tu.

Na iwapo Upinzania utashinda,basi safari ya mabadiliko itakuwa imeanza rasmi na kwamba kwa moto huo huo bila kujali vitisho na ubabe na unyanayasaji wowote,watanzaniaa watakuwa tayari kudai katiba mpya tena kwa nguvu kali na kwamba kwa hakika tutaipata na jakuna atakayeweza kuwazuia

Ni swala la wakati tu.
 
Nilishasema upinzani wakishindwa kuitoa serikali dhalimu ya ccm madarakan basi nitaitoa mwenyewe!!
 
Elimu duni waliopewa watanzania na CCM, isiyowawezesha watanzania wengi kufikiri "beyond their nose", pamoja na uoga wao dhidi ya matumizi ya kibabe ya polisi, Vitaifanya CCM kuendelea kutawala mda mrefu ujao.
 
Leo nimepita maeneo ya Kino, aisee chadema acheni kujipa moyo! Mnapigwa mapema sana na wananchi, hamkubaliki huko kama mnavyodhani.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom