Free wifi Internet at home 8G+

Screenshot_20210609-231715_Gallery.jpg

AP kama hii inakupa 2000 mbps ktk vifaa vilivyounganishwa navyo, ila internet utajua kwa kuipata.
 
Sorry naomba ufafanuzi wako ",nunua zuku lipia 70 utatumia unlimited"
Hii huduma ni maalum kwa Dar, na ni baadhi ya maeneo, unavutiwa waya wa internet hadi kwako pamoja na kifaa cha wifi, utatumia internet bila kikomo
 
We mleta mada mbona huna adabu?
Umekula maharage ya wapi wewe?
Una shida wa kukusaidia ndo umchukulia kama fala flani hivi?
Pole sana heshimu kila mtu unamfaham haumfahamu fanya likupasalo
 
Back
Top Bottom