Free VPN

Dingswayo

JF-Expert Member
May 26, 2009
4,019
2,923
Kwa wale ambao wanapenda kutumia VPN kwa ku access sites mbalimbali, kuna hii inaitwa Hola, ni bure na ni extension ya Chrome browser. Nimeijaribu, inafanya kazi na ni nzuri. Unaweza kuipata hapa chini:

https://hola.org/
 
hii vpn haina lolote yaani ni hola kama jina lake yaani mambo yote ni cyberghost
 
Back
Top Bottom