Free Unlimited Roaming Sim Csrd Line

Paramagamba

Member
May 12, 2017
85
129
Wadau natafuta line au chip ya namna hii. Sim card ambayo itaweza kufanya Roaming popote niendapo hata nje ya nchi huku nikiweza kupokea na kupiga simu bure bila kikomo, kupokea na kutuma SMS bure bila kikomo na kuweza kupata internet bure kabisa bila kikomo, kila kitu kiwe Unlimited. Nitatoa PESA nzuri. Karibuni.
 
Hii ni kwa wamiliki wa mitandao ya simu tu.
 
Wadau natafuta line au chip ya namna hii. Sim card ambayo itaweza kufanya Roaming popote niendapo hata nje ya nchi huku nikiweza kupokea na kupiga simu bure bila kikomo, kupokea na kutuma SMS bure bila kikomo na kuweza kupata internet bure kabisa bila kikomo, kila kitu kiwe Unlimited. Nitatoa PESA nzuri. Karibuni.
Mimi pia naihitaji hii kitu au hata mtu wa kuniungia Kifurushi cha gb na dakika nyingi kwa mwaka au miez 6 namlipa hera nzur maama nachoka na hiv vimb vya sasa..no yangu niya voda mweny kuweza aje bobo chap tuyajenge.. Ila visiwe Vifurushi vya kutumia app ya mtk cm yangu haisapoti mtk. 0756 695846
 
Akitokea nitag ila kua makini lipa after lazi kukamlika
 
Kama unaweza kutoa pesa nzuri, kwanini usitumie hizo pesa kupata huduma ulizoorodhesha hapo juu kwa kuwalipa mitandao husika.
 
Mimi pia naihitaji hii kitu au hata mtu wa kuniungia Kifurushi cha gb na dakika nyingi kwa mwaka au miez 6 namlipa hera nzur maama nachoka na hiv vimb vya sasa..no yangu niya voda mweny kuweza aje bobo chap tuyajenge.. Ila visiwe Vifurushi vya kutumia app ya mtk cm yangu haisapoti mtk. 0756 695846
Tumia satellite phone
 
Back
Top Bottom