Free talk: Mwanamke shtuka!

Have ma" like babe-girlunajua nini umesema maneno maziiito mno mwenye kusikia na asikie,.japo KUPANGA NI KUCHAGUA hatuingiliani lifestyles lakini penye ukweli lazima tukumbushane...

Wadada tupunguze luxuries tofauti na vipato vyetu,.tuwe na kiasi na kuridhika..tukipata wenzetu hebu tupeane support sio kisa ni mbebe wako basi ndio akome kila dhiki unambebesha kaka wa watu looh tena ujue kwao wana japo mbuzi wa maziwa basi hali akashiba.,.ndio maana wengine miti mikavu hawanenepagi kwa kufyonzwa....tujue kufanya kazi zetu na kusave pia kwa ajili ya baadae,.kumtegemea mtu sana kwanza dhambi...

Yeremia 17:5-8 ukisoma utaona mtu anaye mtegemea mwanadamu anakuwaje...

Mungu akatubariki sawasawa na utajiri wake,kusukwa-sukwa hata kumwagika...!!!!
 
Ameeen!
 
Ni sawa ulichosema Ila inaonekana wengi ni asili ya maisha yetu ndo maana walio wengi wapo hvyo,ni mda wa kubadilika na kubadili fikra kuwa hata kabla sijaolewa naweza fanya kitu cha msingi ktk maisha kama kuwa na kiawanja au biashara yoyote ile . baadhi wameamka ila sio wengi elimu hii inabidi ifike mpaka vijijini.
 
Ni kweli mkuu, ni asili nafikiri na hata namna tunavyolelewa hatuandaliwi kujiwekeza. Tunaandaliwa kuolewa kisha mume atufanyie kila kitu, ndio maana familia nyingi ikitokea mume akatangulia mbele za haki basi mambo yanaharibika kabisa.
 
Ndio maisha tunavyolelewa ndo sababu kubwa ya kuwa hvyo.
 
Vigumu kwa Mwanaume kufunguka kuhusu biashara zake kumueleza siri za mafanikio mwanamke.

Hata kipato tu anachokipata mwanaume kwenye biashara kumwambia mwanamke ni kama kuuza ramani ya vita kwa adui.

Ukitaka pesa utapata, lkn channel za business kwa demu (mwanamke) ni vigumu kupata. Labda labda labda awe mke wa ndoa labda.
 
Back
Top Bottom