Kitia
JF-Expert Member
- Dec 2, 2006
- 418
- 73
Kwa wale wenye simu za mkono ambazo zina uwezo wa kutumia internet, WLAN, n.k. wanaweza kwenda www.fring.com na ku download application iitwayo Fring. Fring inajumuisha applications zingine kama skype, MSN, Yahoo, G mail n.k. Yahoo na G mail unaweza ku chat tu, lakini skype na MSN unaweza kuongea na kuchat vilevile. Ni application nzuri ambayo ina switch yenyewe kati ya applications zote hizo kufuatana na kuwepo kwa contacts wako online. Hakuna gharama zozote za ku download Fring na hata wakati unapoitumia.