Free internet&sms sim card

Felix2011

Member
Oct 4, 2011
15
0
30_sim_card.jpg
unlimited free internet simcard available
browse and surf for free 24 hours without no charge
download muvies,music,series,softwares etc without no charge
send free unlimited sms
all this just for 55000tsh
255719050700
 
ni aje mazee, mbona unasepa bila kudadavua, au unaangalia nani wanataka vya bure.
 
nadhani amesema tu kwamba zipo available na sio yeye mwenye nazo maana hajaInsist tumPM au tutazipata kwa njia gani',, anapita tu huyu',,,,,:croc::croc:
 
I am very serious zipo available,kama uko interest sioni haja ya pm wewe piga namba yangu na ujue utaipataje,bei ndio hyo iliyowekwa haishuki wala haipandi,kama unampango wa kubembelezana bei sahau kabisa as long kama utachukua zaidi ya 10 utapata discount.
 
ni za mtandao gani na zinapatikana wapi?

kuhusu ni mtandao gani utajua baada ya kununua na kuijaribu
zenyewe haziruhusu calls wala huwezi angalia salio nakupa na unajaribu hivo vyote mbele yangu pamoja na free internet na sms ukishahakikisha na ukarizika ndio ununue.
 
toa maelezo vizuri hafu ina guarantee ya muda gani

guarantee nakupa miezi miwili baada ya hapo hainihusu,kwasababu naweza nikakupa guarantee ya mwezi ukazani nimeweka bundle ya mwizi,and as u know hivi vitu ni magumashi so huwezi jua lini vina fail ila hata kama itakuja siku vika fail labwa mitandao iwe imekufa coz mpaka sasa ziko active almost mwezi wa 7 sasa..
kamwe usitegemee kitu cha bure kudumu milele
 
mmh nimeamini watu wote duniani ni machizi ...ila kiwango cha kuchizika tunazidiana!!!
 
Sory unajua hizi post ziko mbili hii haikuwa na number anyway am editing it so check again above
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom