Marco Polo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 9,012
- 12,495
Nahitaji kutumia internet ya mwana hapa. Naombeni namna ya kufanya hizo settings.
OK, kwahiyo sio hotspot?WiFi weka on
Ukiweka hotspot on WiFi inazima automatically na kinyume chake pia.yenyewe itakuelekeza usisahau pia na simu yake kuweka hotspot on na data pia
Imegoma mkuuLeta mrejesho nini kinaendelea
Chukua simu ya mshikaji wako nenda kwwnye SETTINGS.Ukiweka hotspot ON WiFi inazima automatically na kinyume chake pia