Free internet kutoka simu moja kwenda nyingine

Yenyewe itakuelekeza usisahau pia na simu yake kuweka hotspot on na data pia.
 
Marco Polo,

Weka Wi-Fi on kwenye simu yako. Chukua simu ya mwana uweke hotspot on, automatically simu yako itasoma.

Unachotakiwa kufanya hapo ni kuweka password iliyopo kwenye simu ya mwana ili kupata internet.
 
Nenda kwenye settings, kisha portable and tethering hotspot kisha Wi-Fi hotspot. Zingatia kuweka WiFi on.
 
Ukiweka hotspot ON WiFi inazima automatically na kinyume chake pia
Chukua simu ya mshikaji wako nenda kwwnye SETTINGS.

Baada ya kwenda kwenye Settings, then nenda moja kwa moja mpaka sehemu ya Mobile Hospot and Tathering click hapo, then utakuta Mobile Hotspot ambayo ina option ya On/Off utaweka On na utaona kitaa cha bluu hivi.

Ikiwa ipo On, chukua simu yako washa Wi-FI na hapo utaona simu ya mwana inasoma au jina lake. Connect itakupa either option ya kuweka Password au utateleza tu.

Mwisho: Kitonga sio poa, mwana amepata kwa mbinde hiyo hela so tumia internet kwa mambo ya maana, sio unaenda kuangalia Tak* la Sanchi.
 
Huyu anachanganya. Simu ya dogo inatakiwa iwe data on na hotspot on


Simu yako Mkuu data off hotspot off na wifi on.

Ila yote haya simu ya dogp iwe na internet.
Pia ukiweka wifi on kwenye simu yako mkuu utatakiwa uweke password ambayo utaipata kwenye simu ya dogo.

Kwenye simu ya dogo pale penye maandisho ya mobile hotspot bofya hapo hapo yatakuja maandishi mengine yenye password. Ambayo utanakili na kuweka kwakp ili kuruhusu net ifanye kazi.

Comment ya juu hapo pia imefafanua vizuri.

Good luck
 
Back
Top Bottom