Free download | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Free download

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Titus, Dec 17, 2009.

 1. Titus

  Titus Member

  #1
  Dec 17, 2009
  Joined: Jul 28, 2007
  Messages: 80
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Habari zenu wakubwa,nimejaribu sana kutumia Lime wire na Vuze ku-download free movies na zote naona kama zinanizingua tu, ziko slow sana na quality ya dowloaded movies haiko safi, PLEASE naoma mnisaidie kama kuna free software nyingine mnazozifahamu nijaribu ili nipate movies za ukweli.Nashukuru sana
   
 2. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #2
  Dec 17, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  hebu changia jf,uwe premium memba utainjoi to the fullest!
   
 3. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #3
  Dec 17, 2009
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,119
  Likes Received: 614
  Trophy Points: 280
  Bittorent client yoyote kama uTorrent. Kisha nenda www.torrentz.com, search, profit.
  Kama upo nchi za nje kumbuka kuna risk ya kushitakiwa.

  Kama unataka maximum speed angalia Usenet providers, hawa inabidi ulipie kiasi kama $10 kwa mwezi for Unlimited downloads, na pia connection iko secure so hakuna kushtakiwa.
  http://www.astraweb.com/
   
 4. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #4
  Dec 20, 2009
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 0
  mimi natumia limewire pro,inashusha fasta tu, ila quality ya file inategemea na source yenyewe kama ni poa, kwa hiyo wakati mwingine ni kubahatisha ukiona muvi haijakaa safi unaitafuta kwa mtu mwingine. pia unapotumia limewire angalia file linalopatikana kwa user wengi zaidi. usisahau kuwa downloading speed inategemea pia connection yako ina speed gani!
   
 5. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #5
  Dec 20, 2009
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  vuze/torent takes time lkn kwality iko bomba, imagine just to download 700MB takes 3 days whn you download for 24 hrs everyday....
   
 6. Kariakoo

  Kariakoo Member

  #6
  Dec 26, 2009
  Joined: Nov 1, 2009
  Messages: 33
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mr. Titus,
  Jaribu hii , mimi naitumia sana na sima malalamiko,
  PSPISO.com
   
 7. eRRy

  eRRy JF-Expert Member

  #7
  Dec 27, 2009
  Joined: Jun 12, 2009
  Messages: 1,080
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
 8. eRRy

  eRRy JF-Expert Member

  #8
  Dec 27, 2009
  Joined: Jun 12, 2009
  Messages: 1,080
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  [​IMG]
   
 9. JuaKali

  JuaKali JF-Expert Member

  #9
  Dec 27, 2009
  Joined: Nov 14, 2007
  Messages: 785
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Mkuu Pape, nafikiri hiyo itakuwa tatizo ni connection zako kwa ISP unayotumia. Miye mtumiaji mkuu wa Vuze, na ipo faster ile mbaya inategemea na watu wangapi wapo na hilo file unalodownload. Jana nimeshusha 702MB kwa 50min na hiyo ni kwa sababu ya file lenyewe halikuwa na watu wengi vile. Average file la 700MB linachukua kati ya 14 to 20min. speed ya cable modem yangu ni 2.5MB/s.
   
Loading...