Jinsi ya kupakua videos za YouTube | How to download YouTube videos

program inaitwa youtube downloader itafute utaweza kudownload katika youtube
au copy link halaf fungua site www.tuberku.com utaipaste hapo kwa download
 
Jaribu kwenda na wakati "Internet Download Manager" ndio habari ya mjini kwa sasa.
 
Tumia Opera mini!then ingia m.youtube.com!afu search any video!afu zitakuja video kibao,then chagua unayoitaka!afu baada ya kuchagua video moja..nenda juu kwenye adress EDIT badala ya YouTube ondoa www.

WEKA ssyoutube.com then search the web afu zitakuj format za video mbalimbali chagua ya simu 3gp kulia kwako!then download!
 
wadau eeeh kila nikijaribu kudownload video za youtube inazingua tangu majuzi kwa idm, au njia zinagoma. nahisi youtube wamebadili mfumo wao wa videos, kama kuna anayejua njia mpya
 
wadau eeeh kila nikijaribu kudownload video za youtube inazingua tangu majuzi kwa idm, au njia zinagoma. nahisi youtube wamebadili mfumo wao wa videos, kama kuna anayejua njia mpya

I guess zile za wasanii wa njee ambao zimepigwa chapa ya VEVO ndo zinazingua
Sababu mm video nyingine nachukua vizuri lkn nikija wimbo ka wa Nick Minaj unagoma
 
C6 nina muda kidogo sijadownload you tube videos. Ila sidhani kama watakua wamebadili format, kuna njia mimi hua natumia kuiforce IDM kudowload video pamoja na audio...
Fungua IDM
Downloads->Options->Keys
Kisha tick sehem iliyoandikwa Use the following keys to download with IDM..........
Unaweza kutick keys ambazo utapendelea kutumia. Baada yapo unapofungua hiyo video/audio unayotaka kuidownload PRESS and HOLD izo keys ulizozichagua, IDM itacapture iyo video/audio then utadownload kama kawaida.

NB: Ili ufiki kwenye sehem ya hiyo option niliyokuambia inategemea na verion ya IDM unayotumia

Thanks
 
Last edited by a moderator:
update idm install version mpya. mi idm yangu iligoma pia nkaenda kat nkainstall latest (ipo homepage skumbuki version) sasa hivo mambo fresh tu

hata maxthon video downloader na zingine zinazingua, ngoja nidownload idm mpya nione

thanks mkuu
 
mi nazidownload pamoja na sauti lakini video haionyeshi yote,inaruka vipande vipande ingawaje sound ipo yote full tena ya kwaliti,sasa sijui nitapata vp ambayo itaonyesha bila kurukaruka wakuu?
 
Mm natumia media clip na ninadownload kila ninachotaka kwenye utube....nanyi mwaweza jaribu hyo
 
kama unatumia windowz 8 easy 2 nikudownload app inaitwa# youtube video download inapatikana kwenye store#
 
wadau eeeh kila nikijaribu kudownload video za youtube inazingua tangu majuzi kwa idm, au njia zinagoma. nahisi youtube wamebadili mfumo wao wa videos, kama kuna anayejua njia mpya

kuna kaprogram fulani kazuri sana kanaitwa ilivid; kukainstall unaenda kwanza kwenye site inaitwa getvid. ni kazuri sana si complicated kabisa. ukiwa hapo kwenye getvid katajitokeza unakaistall mengine computer itakuelekeza. mi natumia hako hadi disk inataka kujaa video sasa. unashusha tani yako!
 
mkuu upo aware kwamba ilivid ni malware? ukiona pc inabehave visivyo ujue ni yeye
 
mkuu upo aware kwamba ilivid ni malware? ukiona pc inabehave visivyo ujue ni yeye

ebwana nashukuru kwa taarifa. cha ajabu ni kwamba nina anti-virus hapa na sijawahi kupata tatizo kabisa. indications kuwa pana tatizo ni kama zipi?
 
Back
Top Bottom