Free Business Planning: Ninaplan business for free with any amount of capital you have!!!

Luqman mohamedy

JF-Expert Member
Jul 24, 2016
899
1,230
Chakufanya post mtaji wako na location ulipo then I
We'll all try our best to help you for free.
Member wengine pia mko free kumpa mawazo atakaepost
[HASHTAG]#sharing[/HASHTAG] is caring
Your all welcome
 
1000000 kibaha kongowe
Mtaji wako unaeza kufany vifuatavyo
1.Biashara y chips_kama itakua ushapitia bussnes nyng kwa sasa hali ilivyo only food business ndo inauza so kwa mtaji huo unaeza uknunua kikbat cha aluminium cha vioo n 150000 mile cha middle size,jiko la gas yle ya kuchomelea ya kiasa+mtungi=500000,viazi na mazaga y kuanzi(mafuta+souses)=200000,kuku wabichi@4500 each na mshahara wa kumpay mfnykaz wak per day @50000 per week.kama kuna popln y kurdhsha utapta mpaka 50000 eday

2.pia unaweza fungua kibanda cha mobile electronic money transfer .line za tho zinauzwa mpka lak2.2,voda mpka lak1.4,airtel100000,halolak1.plus maxcom malipo machines(kwaajili y Luku n vngmuz malpo) 200000.na itabidi each line uanze na mtaji ka wa laki 1.biashara hii ni nzur kwa kua huez kuibiwa payroll inatka mwiah wa mwez
 
Aisee planning ndiyo inafanywa hivi? Kama tunapiga story kijiweni, mbona humuoneshi risk, humuoneshi milestones na hujamuonesha objective?
 
Nina Mtaji wa laki 3, nipo morogoro mjini.
Kwa mazingira ya Moro what pay n nguo.so nakushauri ujaribu kuuza Jersey. Mfano waeza kuja Dar kariako ukachukua zile jersey za second class kama zile watu wanazopigiaga jogging. Wanauza full pamoja na bukta Tsh5000 n rang nzur 5500 so kwa pesa yko utapata ka pair 56-60.Mara nyngne mkoan full huuzwa mpka buku8-10.jez juu buku tano kivyak bukta buku3 kivyake.
 
Guys kama unaknwlodg zaidi pia waweza kumjibu MTU hii n platform tu.kurekbshana pia fresh tumia polite words
 
Kwa mazingira ya Moro what pay n nguo.so nakushauri ujaribu kuuza Jersey. Mfano waeza kuja Dar kariako ukachukua zile jersey za second class kama zile watu wanazopigiaga jogging. Wanauza full pamoja na bukta Tsh5000 n rang nzur 5500 so kwa pesa yko utapata ka pair 56-60.Mara nyngne mkoan full huuzwa mpka buku8-10.jez juu buku tano kivyak bukta buku3 kivyake.
Mkuu hizi ndo Business Plan??
 
Du kuna tofauti kati ua business planna business idea. Nimeshangaa sana mtoa mada anavyopotosha kwa kuchanganya vitu hivyo viwili.

Ingekuwa ni rahisi ivo ........ jamani wkend njema
 
Chakufanya post mtaji wako na location ulipo then I
We'll all try our best to help you for free.
Member wengine pia mko free kumpa mawazo atakaepost
[HASHTAG]#sharing[/HASHTAG] is caring
Your all welcome
Milioni Moja(1,000,000), Ubungo district Dar es salaam.
 
Back
Top Bottom