Free books for students and travelers in PDF format

Guys nilikuwa nimepost kule kwenye habari mchanganyiko lakini kwasababu sikuona hii sehemu, nimeona nihamishie hapa.

Pata vitabu hapa bure bila kuvunja sheria ya copyright

Download free books at BookBooN.com

Shule njema na kazi njema.


Mkuu nimekugongea thanks, post nzuri, wanasema ukitaka kuificha pesa ili mtanzania asiione weka katikati ya kitabu, lakini naamini siku hizi vijana wanazidi kufunguka na hivyo resources kama hizi zitasaidia sana.
 
Back
Top Bottom