Binafsi nasikiliza clouds fm kuanzia nyumbani mpaka kazini
Binafsi nasikiliza clouds fm kuanzia nyumbani mpaka kazini
RIP Fredwaa 😭😭😭View attachment 1376753
Fred Fidelis aka Fredwaa
Kipindi cha Powe breakfast kimepwaya sana kama sio kupoa, kwa muda wa alfajiri kuanzia saa11 mpaka 12, amsha amsha za Fredwaa hazipo, Utabiri wa Hari ya hewa hamna, Paza Sauti pamoja na Ripoti ya Bonge ya alfajiri hakuna.
Uwiiii jamani 😢😢Nasikia ni ajali ya gari.
Chief umenikumbusha mbalii sanaa wayback 2010 kurud nyuma.. kiss fm ilikuwa radio yangu.. weekend kuanzia saa moja top 30 ya America... ma DJ wake enzi hizo walikuwa wanapigq ngoma kali sanaa.. full kingereza mwanzo mwisho... now days kiss fm ugoro mtupu...Mara zote naitamani Kiss Fm ya 2010 kurudi nyuma
Asubuhi unaanza na John Karani JK na mwanadada fulani simkumbuki. Baada ya hapo ni Kiss Prime Time
The Big Fuse na Captain JML Joachim Munga Luguru (alikua anasema "keep on your inner ear and get terrifying"). Alikua na DJ Jeff Jerry...noma sana
Ndio hivyo mamii, kila nafsi itaonja umauti.Uwiiii jamani
Chief umenikumbusha mbalii sanaa wayback 2010 kurud nyuma.. kiss fm ilikuwa radio yangu.. weekend kuanzia saa moja top 30 ya America... ma DJ wake enzi hizo walikuwa wanapigq ngoma kali sanaa.. full kingereza mwanzo mwisho... now days kiss fm ugoro mtupu...
"Unywaji pombe kupita kiasi ni hatari kwa afya yako"- Tangazo
Yeye alikuwa akiendeshwa but alikuwa kalewa, pia dereva aliekuwa akiendesha ambae ni ndugu yake alikuwa kalewa pia, watu wanamengi vifuani mwao ila hawapati watu sahihi wakuwashirikisha.Pombe ni hatari sana Mkuu kwa madereva ,nilivyosikia kapata ajali kichwani nikajiuliza Kawe Kuna ajali gani ya kuua saa saba mchana wakati hauwezi kwenda hata 60 mwai kibaki? ,pili nikajiuliza mtaro gani alioingia huko kawe? kawe mtaro mkubwa si wa pale malingo kona? Alitumbukia mtaro gani?
yeye alikuwa akiendeshwa but alikuwa kalewa, pia dereva aliekuwa akiendesha ambae ni ndugu yake alikuwa kalewa pia, watu wanamengi vifuani mwao ila hawapati watu sahihi wakuwashirikisha,
mwamba alikuwa anapitia wakati mgumu na tangu April Clouds ilivopitisha panga na yeye alikuwemo, Kifo hakina maandalizi
Muda aliotoka na muda tukio limetokea havipishani sana, wamebeba tukio lakini kimtindo, ndiomana hata shuhuri za mazishi hawako karibu nazo sana.Inasikitisha , sasa kama alichezeshwa daruga na clouds inakuwaje bado wanamtambulisha kama mfanyakazi wao? Ulevi noma.
Mkuu mbona this year alikuwa anatangaza clouds nakumbuka one day ile asubuh niliwasha radio clouds nikasikia akitangaza ilikuwa alfajir.muda aliotoka na muda tukio limetokea havipishani sana, wamebeba tukio lakini kimtindo, ndiomana hata shuhuri za mazishi hawako karibu nazo sana
Ilo panga limeondoka na akina nani wengine?..yeye alikuwa akiendeshwa but alikuwa kalewa, pia dereva aliekuwa akiendesha ambae ni ndugu yake alikuwa kalewa pia, watu wanamengi vifuani mwao ila hawapati watu sahihi wakuwashirikisha,
mwamba alikuwa anapitia wakati mgumu na tangu April Clouds ilivopitisha panga na yeye alikuwemo, Kifo hakina maandalizi
Ilo panga limeondoka na akina nani wengine?..