Fredrick Sumaye, Laurence Masha na Lazaro Nyalandu nahisi wanatamani wangesubiri kidogo

Dkt Magufuli ndiyo kielelezo cha uzalendo. Mtatafuta sana madhaifu yake lakini hamtofanikiwa kamwe. Watanzania wanamuelewa zaidi Dkt Magufuli kuliko mtu yeyote.
Watanzania wepi hao? Usitusemee, wengine tunamuelewa Mama tu na siyo huyo katili.
 
Hahhahahah Mwendakuzimu hatorudi yule. Ndo hivyo tena keshakuwa kitoweo cha funza pamoja na jeuri yake yote.
Hahahaha unajidanganya hata wewe mda si mrefu utakufa! Unacheka ujinga unafikiri wewe ni mwema sana! Subiri kama sio wewe mtu wako wa karibu! Mkivuta bangi mnakosa akili na kuongea upumbavu mitandaoni!
 
Nimekosea hapo
Kama ulikosea hapo. Ina maana thread nzima imejaa uzandiki na chuki. Fredick Sumaye mlimfanyia figisu kwenye Uenyekiti mkoa wa Pwani, ndo akaamua kuhama. Sasa hivi mnawarushia lawama watu wengine.
 
Kama ulikosea hapo. Ina maana thread nzima imejaa uzandiki na chuki. Fredick Sumaye mlimfanyia figisu kwenye Uenyekiti mkoa wa Pwani, ndo akaamua kuhama. Sasa hivi mnawarushia lawama watu wengine.

Kama aliweza kuhama kisa uwenyekiti basi jua hakuwa mpinzani wa dhati.
 
Dkt Magufuli ni jembe toka Chato! Utake usitake ndiye rais Bora Africa!

Nadhani unajisahau unachanganya Chato kuwa Afrika. Yule hakuwa na ubora wowote labda kwa kijiji chao alionekana bora zaidi kuliko wanakijiji wenzake na udokta wa kuunga unga.
 
Yule bwana aliexit() kwa style ya ajabu sana,walokole wanaweza sema alipigwa na Mungu maana si kwa kiburi kile alichokuwa nacho
 
SUKUMA GANG SASA MTAONA RANGI ZOTE....MBAF
Kosa kubwa sana mnalolufanya. Aliyetengeneza hiyo propaganda akemewe. Wasukuma wapi wengi sana. Wakiamua hii nchi itagawanyika. Huo mtindi mliotumia kwa Salim Ahmed Salim mpaka akatungiwa kitabu cha mhizibul haiwezi fanya kazi huku bara. Waogopeni sana Wasukuma. Huwa si watu wa maneno. Mnavyozidi kuwachokonoa mnakosea. Ombeni msamaha yaishe muda bado mnao. Hata mkisema tupigane vita vya wenyewe kwa wenyewe wasukuma ni wengi sana. Huyu aliyeleta huu msemo nadhani ajitokeze aukemee maana huu mgawanyiko utaleta shida 2025 and beyond.
 
Yule boya hakuwa na mpango wa kuondoka madarakani na wajinga waliyomzunguka walishiliona hilo.

Wakawa wanamjaza upepo ajione anafaa sana huku wao pia wakijihakikishia ulaji. Ndiyo maana toka afe majinga kama yamepigwa ganzi. Mzee wa jalalani haamini, yale macho aliyokuwa anakodoa kama popo siku hizi kajificha hata kuonekana hataki maana haamini kama kweli ‘mheshimiwa mungu’ wake analiwa na funza.

Wakina Slow slow bado hawaamini kama wamebaki kuwa watu wa nje ya mfumo wa kula mchuzi mzito akaona aanIshe darasa kujifariji, awe na pakutolea povu. Ila ndo hivyo tena.
Kwa jamii ya watanzania mtu anayemtukana marehemu na kumsingizia uongo ni mtu dhaifu kuliko wote. Na wewe ni mmoja wapo.
 
Hawa wanasiasa baada ya kusoma upepo ulivyo na misukosuko iliyoikumba nchi hususani chini ya Mwendakuzimu.

Mwendakuzimu aliwakaba watu, kila mpinzani alikabiliwa na tishio la kesi isiyo na dhamana jambo ambalo liliwafanya watu wengi waone bora waunge juhudi kuepusha shari.

Ni katika kipindi hicho ndo tumeshuhudia wanasiasa tuliowaamini kama Lijwalikali, Joshua Nasaari na Silinde kuomba kijiunga na Chama Cha Majizi kila mtu kwa staili yake. Lijualikali alilia machozi mbele ya kamera!

Ile hatujakaa sawa, hao hapo Halima Mdee kaingia bei na kuzoa wenzake 18 ndani ya BAVICHA,

Hakika haikuwa rahisi kwetu wapigania haki.

Naamini wote hawa nafsi zinawasuta leo, maana hawakutegemea kwamba Mwendakuzimu angeondoshwa na UVIKO. Laiti wangejua, wangesubiri ila ndiyo hivyo wamekwisha kusaliti nafsi zao.

Naamini wanatamani kurudi ila ndo basi tena, ushawishi umeisha, kwa sasa wengi wanalazimika kukaa kimya maana hawawezi kuongea tena kwa ujasiri ule wa zamani kabla ya kulamba damu.

Sisi wengine tuliweza kuyastahimili vishawishi vya Mzee wa V8 aka Slwo slow aka mhadhiri wa masuala ya uongozi. Jamaa alitwikwa mzigo wa jukumu la kununua miamba ya upinzani. Hakika akacheza kama yeye, wanasiasa wakaingia bei mpaka Katibu Mkuu wa CHADEMA akatupa silaha mwishowe ameambulia zawadi ya ukuu wa wilaya.

Ahsante sana UVIKO kwa kucheza kama wewe!
Mwendakuzimu! Hahaha! Dala, Dala Dala!
 
Back
Top Bottom