Kijukuu cha ngoyayi
JF-Expert Member
- Oct 27, 2018
- 732
- 1,568
Kuna watu kati ya hao Ulio wataja wanakwenda kupotea kwny ulimwengu wa siasa hasa hao UVIKO 19
Tunaona mashetani wanajipangaKwa katiba hii Nyakati ngumu kama za jiwe au zaidi yake zinaweza kurudi muda wowote.
Tumefuzu. Hata wao wanashangaa bado tuko wamoja.Tumepimwa na tumehitimu. Haitawai kutokea kama yule boya aiseee. Mtu alikuwa katili wa kiwango cha juu sana.
Amelaaniwa Jiwe amebaki skeletoni sisi bado tunakula chumvi. Hatimae vyote ameviacha.Ulaaniwe na ukoo wako! Hakika wewe ni mwana wa kuzimu!
Hawa ndio hushawishi watu waliopo madarakani kutafuna mali ya uma kwa speed ya kiwango cha mwisho kabisa.Hakika wewe ni kizazi chenye laana na umelaanika. Dkt Magufuli kwa heshima aliyoiletea hii nchi huwezi kumuita kwa hilo jina.
Ndio kwanza tuko ngangari. Sijui awamu nyingine watakuja na mbinu gani.Hawaamini kwa kweli kama bado tunapambana
Mungu alituondolea ile takatakaYule bwana aliexit() kwa style ya ajabu sana,walokole wanaweza sema alipigwa na Mungu maana si kwa kiburi kile alichokuwa nacho