Danpol
JF-Expert Member
- Aug 15, 2013
- 5,682
- 8,809
Unanitisha, nina ndugu yangu alipita kwenye mikono ya Gaki na Jambo , alikua na ginnery , faster akaongeza kiwanda cha mafuta ya pamba, alizet, mchele, unga na kampun ya usafirishaj, vilivyopukutika, hutoamn.. au itakua nae alizulumu nn, imebak Rice mill pekee, msimu huu naona anahangaika kufufua oil mill.. hii mada imenifikirisha sanaKina Paul na Edward Ng'hwani. Malori yao yaliitwa Rehema za Mungu. Wote wawili wameshaaga dunia. Utajiri kwishney. Watoto wao wana maisha ya kawaida tu.