TANZIA Fredrick Shoo (FRESHO) Mmiliki wa Kampuni Tanzu za FRESHO INVESTMENT LIMITED Afariki

Nilioa uchagani sijutii kabisa. Mungu alinipa mke ambaye kwa umoja wetu tuliufuta umaskini wangu na ndugu zangu. Kuna siku nilisema hapa kuwa baada ya Mimi kuoa mchagga na rafiki zangu na ndugu wakashuhdia maisha yetu mazuri mno ya kuelewana na upendo basi ndugu zangu wa kuzaliwa tumbo Moja wote tumeoa wachagga. Ndugu wa ukoo wengi wameoa wachagga. Best friends zangu nao walioa wachagga. Kifupi sote tulioa wachagga tumebadili kila kitu kimaisha na kijijini tutokapo. Wazee wangu kabla ya kufariki walituita wakaomba kuwa sote tumuite mke wangu "Mama". Hivyo mke wangu haitwi Wifi wala shemeji. Na Mimi ninamuita mama na simkumbuki siku nimemuita kwa jina lake. Mungu akubariki mama Bahati

Endeleeni kuwabeza wachagga Ila niseme tu Wachagga ni taifa lingine kabisa. Tena kwa sasa vijiji uchagani utafikiri ni Miji mikubwa. Hata maisha ni kama mjini mpaka hata mapishi Yao.
Wachaga pia ni wezi,tunawajua wala huna haja ya kupiga tilalila saaana.
 
Sulla yupo..Wakina kulwa kabizi..wapo..ni kweli wanyantuzu walijaa sana shirecu..bho mami ulikua mingi sana..walikua wanapeana vyeo hata mtu hana shule...mwisho wakaanza ufisadi na wizi uliokithili..kupelekea shirika kufa wengi walifungwa..walioendekeza uchi nao walikufa kwa ngoma sana.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
Wakati huo kama sikosei mnyantuzu Philipo Ndaki akiwa mwenyekiti wa washiriki Tanzania,,
Watu walipiga hela..
 
Nimesikia Jamaa amekufa kwa corona. Ivi wakina mangi wameikosea nini corona!!!!! Mbona yawapukutisha mno. Kipindi imeingia iliwasomba sana nikawa najiuliza kilikoni awa ndugu zangu

Poleni sana, Mungu awape subira
 
RIP big man.

One thing for sure is you've loudly left a lesson, one can be rich without bieng famous!

To the young thirsty bloods out there, aim for the money Not the fame!!!

Chief, ile Dr dre pia ni yako?
 
Nimesikia Jamaa amekufa kwa corona. Ivi wakina mangi wameikosea nini corona!!!!! Mbona yawapukutisha mno. Kipindi imeingia iliwasomba sana nikawa najiuliza kilikoni awa ndugu zangu

Poleni sana, Mungu awape subira
Mapombe na makitimoto ndugu yangu..yana pukutisha kinga ya mwili...ndio mana wengi wanaugua mavisukari..so korona ni kama kumsukuma mlevi tu.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilioa uchagani sijutii kabisa. Mungu alinipa mke ambaye kwa umoja wetu tuliufuta umaskini wangu na ndugu zangu. Kuna siku nilisema hapa kuwa baada ya Mimi kuoa mchagga na rafiki zangu na ndugu wakashuhdia maisha yetu mazuri mno ya kuelewana na upendo basi ndugu zangu wa kuzaliwa tumbo Moja wote tumeoa wachagga. Ndugu wa ukoo wengi wameoa wachagga. Best friends zangu nao walioa wachagga. Kifupi sote tulioa wachagga tumebadili kila kitu kimaisha na kijijini tutokapo. Wazee wangu kabla ya kufariki walituita wakaomba kuwa sote tumuite mke wangu "Mama". Hivyo mke wangu haitwi Wifi wala shemeji. Na Mimi ninamuita mama na simkumbuki siku nimemuita kwa jina lake. Mungu akubariki mama Bahati

Endeleeni kuwabeza wachagga Ila niseme tu Wachagga ni taifa lingine kabisa. Tena kwa sasa vijiji uchagani utafikiri ni Miji mikubwa. Hata maisha ni kama mjini mpaka hata mapishi Yao.

Acha kudanganya watu wewe, wewe ni mchagga haswaa. Tangu lini mchagga akakubali mwanae aolewe na kabila jingine tofauti na chagga!!! Hata kama wapo huenda ni wachache sana. Acha Walete feedback apa kama wamesalimika.
 
Ndivyo ilivyo mkuu,halafu mwendazake alikuwa akiwapiga vita mno kutokana na majina yao ya ukoo,hakufahamu tu kuwa hawa ndiyo waliokuwa wakimsaidia kutimiza ndoto yake ya tanzania ya viwanda.
Acha uongo aiseee!
 
Back
Top Bottom