Fredrick mwakalebela tunakuhitaji uwe mstahiki meya wa manispaa ya iringa 2015..

yohana charles

Senior Member
Mar 21, 2013
134
0
Wana wa Iringa mjini wanamwamini sana Mwakalebela,hali hiyo ilijidhihirisha katika kura za maoni za ccm 2010 ambapo mwakalebela alimbwaga aliyekuwa mbunge mama Monica Mbega kwa kura zaidi ya 800.,alipoondolewa kwa fitna tu za kisiasa ndo ikapelekea wana Iringa kuonyesha hasira zao wakamchagua Mh Mchungaji Msigwa ambaye kiukweli endapo atapata ushirikiano ni mbunge wa ukweli...Mwaka 2015 wana wa Iringa wanaomba Mwakalebela aachane na mbio za Ubunge,agombee udiwani ili asimame katika kinyanga'anyiro cha Umeya..wana wa Iringa bado wanakuhtaj MWAKALEBELA..
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom