Fredrick Lowassa achangia Tsh Milioni 11 kwenye miradi ya maendeleo

utukufu mwanjisi

JF-Expert Member
Aug 19, 2017
2,575
2,000
Mbunge wa Monduli(CCM), Fredrick Lowassa amechangia jumla ya Sh11 milioni kwenye miradi ya maendeleo jimboni humo.

Miradi hiyo ni pamoja na ya ujenzi wa nyumba ya daktari wilayani Monduli,ikiwa ni utekelezaji wa ahadi aliyoitoa kwa wapiga kura wake.

Taarifa ya mchanganuo wa utoaji wa fedha hizo iliyotolewa jana na ofisi ya mbunge huyo kwa vyombo vya habari, ilisema Fredrick Lowassa ametoa zaidi ya Sh6.8 milioni na taasisi ya ECLAT DC imetoa sh5 milioni.

Fredrick, ambaye ni mtoto wa Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa alitoa mchango huo jana alipotembelea eneo litakalojengwa nyumba hiyo.
images%20(35).jpg
 

mirisho pm

JF-Expert Member
Apr 10, 2012
3,753
2,000
Royal family hakuna shida..
Watu powa sana.. mambo za kawaida kwao
Hongera Fredy
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom