Fredi mpendazoe na Julius mtatiro mbona hampewi vyeo?

Sir John Roberts

JF-Expert Member
Mar 1, 2017
10,175
17,305
Tangu Hawa jamaa wajiunge na CCM ni kama wamefungiwa vioo sioni wakipewa nafasi katika serikali ya bwana JPM. Je hawa watakua wamekosea wapi maana tumeona wengi waliokubali mwaliko wa chama chetu kama kafulila , waitara ,nk wamepata vyeo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siyo hao tu, umesahau Msindai, aliwkatwa mkia!? Na mzee yule wa Kahama was nyeti za kuku, akina Said mkumba wa Tanzania kwanza vs ukawa!!? Na wengine wengi, tupilia kule, sijui hawa wake juzi " mamvi na mwenzie mgeja" hatuangalii mtu machoni Ni za usso mpaka chama chetu masela imikubalike. Adabu adabu tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usaliti haumuachi mtu salama, hata toilet paper iliposaliti kufanyiwa daftari sasa inafutiwa kinyesi.

Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Back
Top Bottom