Frederick Tluway Sumaye kuchukua fomu ya Urais kupitia CCM 2020?

Huna Habari kwamba Sumaye aligombea kidemokrasia nafasi pale CCM 2015?
Mwaka huu alisema wapi anata kugombea urais kupitia CCM? Acha kupotosha Sumaye hajawahi sema Tena baada ya kukosa kuteuliwa 2015.
Ni kweli wanapotosha yeye alitaka uenyekiti chadema ndio mbowe akamwambia sumu haionjwi(ole wako)
 
Kosa wanalofanya wanasiasa wakongwe ni moja tu.kwenda vyama pinzani kisha kirudi tena CCM.ona sasa wanavyo dhalilishwa na vyama vya upinzani walivyoviacha.
mtu keshakuwa mpaka PM ndani ya serikali ya CCM alafu bado tena unapatwa na tamaa ya kwenda upinzani kufanya nini?.upinzani wenyewe uko wapi?
 
Chadema 2007-2015 ilikuwa tumaini kuu na fahari ya Watanzania, hata kwenye chaguzi, ilipewa nafasi ya kushinda hadi kuingia Ikulu.... hebu tazama leo unaiona wapi.?

Hata mtaani sio fahari tena kwetu vijana kuvaa zile gwanda, tisheti ndo kabisa yataka moyo, wanavaa viongozi tu, tena ofisini kwao tu au wakiwa kikazi.

Tumaini limepotea, miaka mingi sana itapita... na inawezekana kabisa kisirudi level zile tena!

Ncha Kali.
Kwa zaidi ya miaka 5 unamziba mtu mdomo halafu unajisifia eti 'unaongea na bubu'.

Ukitaka kujua nguvu ya cdm au upinzani, Wekeni tume HURU ya uchaguzi TU, hata polithi na JW wakiwa kwenu haina shida.
 
Kwa zaidi ya miaka 5 unamziba mtu mdomo halafu unajisifia eti 'unaongea na bubu'.

Ukitaka kujua nguvu ya cdm au upinzani, Wekeni tume HURU ya uchaguzi TU, hata polithi na JW wakiwa kwenu haina shida.

Hayo yote unayotaka hayawekwi kwa huruma, na kama hiyo ndo turufu za ushindi basi hata ingekuwa wewe ni lazima ungeendelea kujinufaisha.

Viongozi wachache wa upinzani wanajinufaisha pia kwa vivuli vya wengi, ila hawana nia thabiti ya mapinduzi.

Tunatamani upinzani, unaleta chachu kwa mtawala na tumeona mengi.... lakini sasa hebu watazame hao wanaohubiri mienendo yao..!!
 
Afrika siasa bado Sana hatujafikia uwezo wa kujiongoza Kama watu,Vita vyote afrika ni sababu atuwezi tumeshindwa kujiongoza na kujitawala
 
Kumtaka Akaonje sumu watapora mashamba yote yaliyobaki
 

Attachments

  • FB_IMG_1592657113833.jpg
    FB_IMG_1592657113833.jpg
    27.8 KB · Views: 1
Huyu dingi hanaga mvuto wa kisiasa.
Chadema nao hawajifunzagi tuu hawa makada wa chama. Bado Nyalandu atawa disappoint sio muda.
 
Sumaye wakati anaondoka chadema alitamka mambo mazito eti, CHADEMA haina demokrasia.

Sasa yuko CCM, na fomu waliyo print ni moja tuu.. hakuna nyingine.


Sumaye nadhani muda huu yupo Dodoma , anatafuta kopi ya fomu aliyo pewa rais Magufuli.

Karibu sana CCM...

View attachment 1482448

Zaidi, soma: Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye arejea CCM, alijiengua CHADEMA baada ya kuambiwa na Mbowe 'Sumu haionjwi kwa kuilamba'
Acha uongo mbona fomu zilikua nyingi tu. Mimi nilienda kuchukua sema kumbe hawapokei hundi ni cash tu kurudi na cash muda umeisha.
Hata hivyo nimeona poa tu maana magufuli kweli ni baba lao🏋️🏋️
 
Back
Top Bottom