Frederick Sumaye na Cecil Mwambe: Miamba iliyoitikisa CHADEMA kwa kugusa maslahi ya chama ndani ya chama

Sioni yoyote mwenye mvuto Kati ya hawa

1. Cecilia
2. Sumaye
3. Lowassa

Wote history yao imeishia hapo.

Kule watakuwa Ni ndiyo mzee.

Sumaye ndiye aliyetoa kauli kuwa ukitaka biashara yako ifanikiwe au umiliki shamba au uwe kiongozi njoo ccm, akiwa Waziri mkuu.

Ndicho kilichomkuta, karudi CCM ili akomboe mashamba yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
CCM mnakumbuka kauli ya Dr Slaa ambayo muliishangilia sana Lowassa alipokuja Chadema? Nanukuu;
Chadema wamehamisha Kinyesi (Lowassa) toka chooni na kukileta sebuleni.
Sasa CCM ndio funga kazi kwa kuhamishia dining room wakati wao wa mlo kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom