Makaayamawe
JF-Expert Member
- Feb 21, 2009
- 341
- 9
- Thread starter
- #21
Hello fellows! Hivi hawa jamaa wanapohojiwa kwanini huwa hawatoi taarifa zilizo kamilika? Au wameamua kuja kutuchanganya? Maana mimi najua kuwa ukiesema familia tisa means unazijua! Na inatakiwa uzitaje! Sasa ukisema tu bila kutaja majini hapo ina maana habari yako haijakamilika.
Mimi nafikiri sasa inabidi hawa jamaa wakiojiwa kama awatoi maelezo ya kueleweka ni vizuri hizo habari zikaachwa maana hazina kipya zaidi ya kuongeza maswali yasiyo na majibu.
ATAJE MAJINA SIYO KUTUTAJIA NAMBA TU? ATOE NA VIDHIBITISHO KUONYESHA AMETUMIA NINI MPAKA KUFIKIA KUSEMA HIVYO....
Mugerezi,
Hapo umenena, lakini inaelekea na waandishi wetu nao wamepwaya maana hilo lilitakiwa liwe ndio swali linaaalofuatia. Ilitakiwa wamuulize Mheshimiwa;
.....Je unaweza kututajia majina au vielelezo vya hizo familia tisa zinazomiliki nchi?