Get My like Man...though naona ngono ndo ilikuwa inampelekesha sana huyu Jamaa...
Asiende TAIPEI naona kwa new legal bill atafanywa kuwa Punga mzee..(Joke)
Kudos
Umesema ana mke aliyeishi nae kwa zaidi ya miaka 25 sasa hapo tusaidiane huyo mke alikuwa anazunguka nae sehemu zote na je alikuwa anajua usanii wa mumewe?
Ha ha ha.... Hatari sana. Ila ukikaa ukafikiria vizuri matapeli ni watu wenye akili sana.kama ukipata tapeli mzuri ukakaa naye ukaongea naye utagundua ana akili sana.
Post imeenda shule hii heko kwako. Hongera kwa hili, umenikumbusha jamaa mmoja yupo Kyela huko ni tapeli sana anajifanya mganga wa kienyeji, mara utapeli wa hela bandia anaitwaga Abeli au mr Maloo(Marlaw) sema shule kichwani hana hata kusoma changamoto sms kuandika shida ila ndio kala sana hela za watu. Juzi kati naambiwa wwmempiga mtu Dar 100 million na wenzie saizi anaishi kama digidigi hapa pale kesho kule
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.