Frank Lampard atambulishwa rasmi kama kocha mpya wa Chelsea

Influenza

JF-Expert Member
Jul 1, 2018
1,442
3,353
Mchezaji wa zamani wa Klabu ya Chelsea, Frank Lampard ametambulishwa rasmi kuwa Kocha Mkuu wa timu hiyo kwa mkataba wa miaka mitatu

Lampard aliyekuwa akiinoa Klabu ya Derby County anaenda kuinoa miamba hiyo ya Stamford Bridge yenye makazi yake Magharibi mwa London baada ya aliyekuwa Kocha Maurizio Sarri kutimkia Juventus

F6B43FFB-C706-4B27-A20C-E62A8F770214.jpeg

******

Frank Lampard has been appointed new Chelsea manager, completing an emotional return to Stamford Bridge.

The Blues legend has now put pen to paper to become Maurizio Sarri's successor at the west London club to end the wait for one of the worst kept secrets in English football to be confirmed.

'I am immensely proud to be returning to Chelsea as head coach,' Lampard said after the news was confirmed on Thursday morning.

'Everyone knows my love for this club and the history we have shared, however, my sole focus is on the job in hand and preparing for the season ahead. I am here to work hard, bring further success to the club and I cannot wait to get started.'

008CB860-424D-4640-ACA1-D56F622884C9.jpeg

Lampard is expected to bring coaches Jody Morris, who played and coached for Chelsea, and Chris Jones, another former Blues coach with him back to Stamford Bridge.

Following top-level talks, led by director Marina Granovskaia, the west London club decided Lampard would be their first choice target to replace Sarri, who left after one season in charge to become Juventus manager.

There were some doubts over Lampard's suitability for the position given his relative inexperience.

The 41-year-old has just one season's worth of managerial experience, leading Derby to the Championship play off final last season - where the Rams eventually lost to Aston Villa.

But Lampard will certainly galvanise a fan base that was divided at times last season given his hero's status at the club.

He will be expected to blood a number of the club's most talented youngsters due to Chelsea's two window transfer ban.
 
Huyu mnayemtaja km mfano ameikuta man u ya aina gani? Lampard kwangu atafanya vizuri Sana cos still Chelsea ina team nzuri watu km willian, pulisic,Pedro,odoi,kante individual ni watu wenye uwezo wakuibeba team lakini pia Chelsea ina wachezaji wengi wenye dna ya makombe mifano watu km kante,willian, pedro,Luiz,alizicueta, girodi,ludiger ni watu wamezoea kubeba makombe ndo maana sari hakuwahi kuchukua kombe lolote lakini amechukua kombe lake la Kwanza na team ya Chelsea nafikiri utakuwa umenipata vizuri.
 
Man city na Liverpool zitaendelea kushindania ubingwa. So sad kwa EPL timu kubwa kama hizi kuwa na makocha aina ya Ole na lampard
 
Massolin5, ujue watu hawajui kitu kimoja wakiona labda malegend wakishindwa kufanikiwa km makocha wanafikiri wote hawatafanya vizuri.Lampard anaenda kuifundisha ikiwa bado Chelsea in wachezaji wazuri km kante,willian,odoi, pulisic nk ambao wanauwezo wa kubeba team individual lkn pia lampard anaikuta Chelsea ikiwa ina wachezaji wenye dna na makombe km vile kante,girodi,Luiz, alizicueta, Pedro nk sioni sababu ya lampard kushindwa.mfano km ole sendeka kafeli kutokana na aina ya wachezaji aliowakuta man u.
 
Acha fikra ndogo hizo. Mara ya mwisho kumuona kocha muingereza mwenye uwezo ilikua ni mwaka gani? makocha wa kiengereza uwezo wao ni kufundisha Championship au kushinda relegation battles sio ishu ya Ulegend ishu nikua hapana dalili yoyote ya kua ni kocha mzuri.
 
Tutaona kwa Lampard
 
Good luck kwake!
He really need it,coz anaenda kupambana na makocha kama Pep Guardiola na Klopp.
Ni vyema mashabiki wa Chelsea mkajipanga kisaikolojia.
 
Back
Top Bottom