Frank Lampard asitishiwa mkataba kuendelea kukinoa kikosi cha Chelesea, Tuchel atajwa kuja kuziba nafasi yake

Duh, niliacha kutazama mechi za Chelsea muda , ila simu yangu haiachi kunipa notifications hata tukipigwa ngoja tuone anayekuja atafanya nini.
 
Back
Top Bottom