Francis Cheka knock out

Fraddle b

JF-Expert Member
Nov 20, 2011
222
18
Cheka amedhiirisha ubabe wake tena kwa Mada maugo baada ya kumpiga kwa knock out.Nakuchukua zawadi ya gari
 
Mimi namshangaa huyo Maugo hana lolote ni kuongea tu tena visivyo na maana halafu akiingia ulingoni anatandikwa, watu wengine bana
 
Cheka naye bana juzi anahojiwa anasema huu mchezo wa boxer ni mzuri.hivi ni boxer au boxing!!hahaaa muwe mnaongea kiswahili bana
 
Utajuaje kama tumesoma? Ha ha ha! Watu wengine hawajui kwamba ukikwepa kuonekana hujui, basi kitu mbadala utakachosema au kufanya kitakuumbua zaidi kuwa hujui. Pamoja na hayo, hongera Cheka.
 
Cheka naye bana juzi anahojiwa anasema huu mchezo wa boxer ni mzuri.hivi ni boxer au boxing!!hahaaa muwe mnaongea kiswahili bana

even if,lakini jamaa hana mpinzani na huyo maugo asitafute publicity
 
Cheka naye bana juzi anahojiwa anasema huu mchezo wa boxer ni mzuri.hivi ni boxer au boxing!!hahaaa muwe mnaongea kiswahili bana

Wewe unaonekana ni shabiki wa Madam Maugo, cheka hana haja ya kujua kiingereza wala kiswahili. Hata akiongea Kiluguru tu, bado ataendelea kumdunda Madam Maugo
 
Mada maugo huyoo chali wanasema wanamuandaa Mashali angalieni mambo yaliyomkuta kaseba yatarudia tena
 
Aliniacha hoi sana wakati anahojiwa na Sports Bar ya Clouds Tv kuwa eti Waamuzi waliokuwa wanachezesha mapambano yake dhidi ya Cheka walikuwa wanaingia kuchezesha huku wamevuta bangi,kumbe yeye ndo kaingia kupigana juzi huku amelipuliza,kwanini asichezee kipondo...
 
maugo anasema kulikuwa na miziziology katika pambano kwani kuanzia raundi ya nne alikuwa hamuoni cheka anapigana na upepo!
 
Back
Top Bottom