Francais/Deutsch/Spagnola/Italiano

Mkakatika

Member
Nov 15, 2009
52
7
Ninatafuta wadau wa lugha hizo hapo juu ili kufanya mazoezi ya lugha hizi maana hapa bongo ni nadra sana kukutana na waongeaji wa lugha hizi ingawa wapo.

Tafadhali kupitia jamii forum tuungane.

Merci/Danke/gracias/Grazie
 
Ecco mi. Ma quanto paghi per un'ora? Non c'e gratis ha ha ha. Buona fortuna!
 
Tante grazie lutala , ma quanto lira costa per un'ora? Lutala di dove Paese?
 
Labda kwa ile lugha 1 jaribu "Espanol"! Kwa kuandika "Spagnola" utapata labda Waitalia lakini si Wahispania. Au Wahispania wanaoelewa Kiitalia.

Bonne chance - viel Glück!
 
Huwa napenda kifalansa nikipata mwalimu itakuwa shega hasa uku mikoani
 
Bangusilo
Danke gut, wie geht es Ihnen?
Minda
Porque non capisci? Voglio imparare la lingua Italiana con uno/una amico/amica
Njowepo
Le Francais ne pas dificile,d,ou vient tu?
Kifaransa ni rahisi. Upo mkoa gani kwa sasa ili kama kuna uwezekano nikupe maelekezo labda yatakusaidia.
Tunogeshe libeneke hili la lugha wadau wa lugh tafadhali.

Asanteni nyote
Merci beaucoup a tous
Mucho gracias
Tante grazie i tutti
Alle,vielen danke
Thanx to u all
 
Signori mkakatika,lutala,njowepo,njiwa,minda e liatri
Bonjorino sig l,o poso lsgnare pero dove viposo trovacci? um baccio!!!!
uncordiale saluto
chicho
 
Bahati mbaya nimeona ujumbe huu leo, lakini ninaweza kutoa mchango wangu kidogo.
Kwa wale wanaohitaji kujifunza Kispanish au ESPAÑOL, mimi ninaweza na niko tayari kuwasaidia, kupitia mtandao.
Kwa kuanzia, fungua kiunganishi hiki ambamo unaweza kujifunza ile ya msingi kabisa:

Learn Spanish - Spanish Online - SpaniCity


Kila la heri.
 
Mammamia
Asante sana kwa link iliyotulia sana. Nimeona vitu vizuri sana kuhusu kihispania
Be blessed:cool:
 
You're welcome. Don't hasitate to contact me via the above addresses in case you need any help.
 
Herzlich willkommen, ich stehe dir in Deutschsprache gerne zur Verfügung. Jeder Zeit...

Schönen Tag noch.......
 
Back
Top Bottom