Frame la biashara linauzwa

Nilichokuwa namaanisha baada ya leo biashara itakuwa inaendelea, kwasababu ni mpaka mnunuzi aje kujiridhisha, halafu hapo ulipo duka linatama barabara kubwa inayoelekea Bagamoyo?

Vifaa vya umeme sio vitu vya kuharibika na havina expire date. Naweza kuvifungia tuu huku nikiendlea kupambana na soko. Nikiona kodi ni changamoto naweza kuviamishia sehem ambayo haina changamoto ya kodi.
 
Nilichokuwa namaanisha baada ya leo biashara itakuwa inaendelea, kwasababu ni mpaka mnunuzi aje kujiridhisha, halafu hapo ulipo duka linatama barabara kubwa inayoelekea Bagamoyo?
Unaingia kidogo kulia mita chache sana, ukiwa dukan unaiona barabara. Na si lazima mnunuzi abaki hapa hapa kwenye fremu. Anaweza chukua mzigo tuu akaenda kujazia au kufungua sehem nyingine
 
Kiongozi nimekuelewa, nina Rafiki yangu anatafuta frem, sasa ninaangalia kama aanze na biashara hiyo hiyo.

Unaingia kidogo kulia mita chache sana, ukiwa dukan unaiona barabara. Na si lazima mnunuzi abaki hapa hapa kwenye fremu. Anaweza chukua mzigo tuu akaenda kujazia au kufungua sehem nyingine
 
Aiseee ofisi iko poa ndugu. Hiyo kazi unayoifuata inalipa zaid ya biashara yako?
 
Duuu, kweli nimeamin hali n ngumu.. Pesa hakuna, vyuma vimekaza.Vimekaza haswa.

Nimetoa fursa hapa ya kibiashara watu wanaishia kupiga simu tuu, hakuna anaetoa pesa! Kila ukipiga simu "Kuna pesa naifatilia subiri" au kuna pesa naickilizia mkuu, nipe mda kidogo! Hakuna kitu!

Nimeshusha mzigo, nikataka nipewe 2M tuu kwa stock ya 2.9+ jumlisha mwez mmoja free wa kodi.. Watu wanataman san, ila pesa ndo hamna! Hali sio nzuri huku mtaan.

Nimeamin, nimeamin..
 
Mkuu noma sanaa....
 
Mkuu ukishasikia sentensi kunapesa naisubiria, naiskilizia jua hapo hakuna kitu wabongo wengi wapo hivyo..
 
Mbongo akishakuambia
'kuna mchongo....'kabla hajamaliza kata simu unapotezewa muda
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom