Frame la biashara linauzwa

Mkuu itakuwa ngumu kwa mkopo. Bora niuze kwa discount kias kuliko hiyo ya awamu. Ukipokea pesa kdgo kidgo huwez kufanya kitu kingine kabisa mkuu
Frem pamoja na mali bei gani? Leseni ya biashara ipo? Kodi ya pango ni kiasi gani kwa mwezi? Bado muda gani kodi ya pango iishe. Unaweza kunifuata PM kwa biashara ya uhakika
 
Mzigo bado upo wakuu.. Nilipaata wateja watatu, changamoto ikajitokeza kidogp maana mwanzon nilikadiria mzigo wote ni 2.5M(Kwenye tangazo mwanzon).Tulivyokuja kupiga stock ikaja 3M na point kidogo. Wawili walirudi wakaesema walikuwa wamejiandaa kwa 2.5

Muuzie boss wangu huyu Asprin mimi nije kufanya kazi
 
Mkuu kama upo vizuri njoo uchukue biashara inayo-run kwa pungufu ya laki 4. Mzigo wote unagharimu 3,016,450. Mm nataka unipe 2.6M tuu. Nikuachie. Nahitajika tangu last week Arusha na sijaenda bado.
 

Attachments

  • IMG_20190902_160332-1.jpg
    IMG_20190902_160332-1.jpg
    172.8 KB · Views: 19
  • IMG_20190902_160411.jpg
    IMG_20190902_160411.jpg
    182 KB · Views: 24
  • IMG_20190902_160354.jpg
    IMG_20190902_160354.jpg
    240.6 KB · Views: 28
  • IMG_20190813_094248.jpg
    IMG_20190813_094248.jpg
    191.5 KB · Views: 22
  • IMG_20190902_160300.jpg
    IMG_20190902_160300.jpg
    178.4 KB · Views: 20
  • IMG_20190902_160340.jpg
    IMG_20190902_160340.jpg
    174.5 KB · Views: 24
Mzigo nimeshusha tena bei.. Njoo PM tumalize kazi hata leo. Hii ni zaidi ya bonus,hii kitu huwezi pata tena hadi unakufa,Kesho lazima niondoke.
 
Kiongozi kama itashindikana leo kupata mteja inamaana biashara utamuachia nani?
Vifaa vya umeme sio vitu vya kuharibika na havina expire date. Naweza kuvifungia tuu huku nikiendlea kupambana na soko. Nikiona kodi ni changamoto naweza kuviamishia sehem ambayo haina changamoto ya kodi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom