Frame la biashara linauzwa

Ubungo Mataa

JF-Expert Member
Nov 24, 2018
355
594
Fremu yenye vifaa umeme inauzwa, imelipiwa kodi ya miez6 na itaisha Mwez November. Vifaa vyote vinauzwa kwa bei ya jumla pamoja na discount kubwa. Au unaweza chukua tuu vifaa vyote ukahamisha sii lazima uchukue na fremu. Vyote kwa pamoja vinagharimu sii zaid 3M bei ya hasara. Maongezi yapo. Ipo Tegeta kwa Ndevu Dar es Salaam. PM kwa maelezo zaidi.
 
Fremu yenye vifaa umeme inauzwa, imelipiwa kodi ya miez6 na itaisha Mwez November. Vifaa vyote vinauzwa kwa bei ya jumla pamoja na discount kubwa. Au unaweza chukua tuu vifaa vyote ukahamisha sii lazima uchukue na fremu. Vyote kwa pamoja vinagharimu sii zaid 2.5M bei ya hasara. Maongezi yapo. Ipo Tegeta kwa Ndevu Dar es Salaam. PM kwa maelezo zaidi.
Weka picha.

Pia pango ni Sh. ngapi kwa mwezi ?
 
Biashara bado ipo wakuu, natarajia kuondoka Ijumaa.. Njoo nikuachia biashara inayo-run, yan wewe unaingia tuu unaanza kuuza.
 
Fremu yenye vifaa umeme inauzwa, imelipiwa kodi ya miez6 na itaisha Mwez November. Vifaa vyote vinauzwa kwa bei ya jumla pamoja na discount kubwa. Au unaweza chukua tuu vifaa vyote ukahamisha sii lazima uchukue na fremu. Vyote kwa pamoja vinagharimu sii zaid 2.5M bei ya hasara. Maongezi yapo. Ipo Tegeta kwa Ndevu Dar es Salaam. PM kwa maelezo zaidi.
kweli vyuma vimekaza
 
Mkuu umeshauza tayari?
 
mkuu niuzie kwa mkopo nikulipe kwa awamu awamu na kwa makubaliano maalum
Mkuu itakuwa ngumu kwa mkopo. Bora niuze kwa discount kias kuliko hiyo ya awamu. Ukipokea pesa kdgo kidgo huwez kufanya kitu kingine kabisa mkuu
 
Nikweli mkuu ila niliona sio vibaya kutoa mawazo yangu ila kama utakuwa tayari nitakulipa laki 5 kila awamu nakuomba nifikilie
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom