Ubungo Mataa
JF-Expert Member
- Nov 24, 2018
- 355
- 594
Fremu yenye vifaa umeme inauzwa, imelipiwa kodi ya miez6 na itaisha Mwez November. Vifaa vyote vinauzwa kwa bei ya jumla pamoja na discount kubwa. Au unaweza chukua tuu vifaa vyote ukahamisha sii lazima uchukue na fremu. Vyote kwa pamoja vinagharimu sii zaid 3M bei ya hasara. Maongezi yapo. Ipo Tegeta kwa Ndevu Dar es Salaam. PM kwa maelezo zaidi.