Fr. Bwalya kachoka na serikali yake na kuhubiri mimbarini! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Fr. Bwalya kachoka na serikali yake na kuhubiri mimbarini!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mzee Mwanakijiji, Mar 15, 2010.

 1. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #1
  Mar 15, 2010
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  [​IMG]

  BBC:

  A Zambian priest who is leading a campaign to force the government to resign has been freed on bail after spending three nights in jail.

  Father Frank Bwalya denies charges of breaching the peace after distributing red cards - the symbol of his campaign.

  After being freed, he told the BBC he had "never felt so confident" about his message and said the government was corrupt and dictatorial.

  Officials have denied the arrest was politically motivated.

  The priest's critics have labelled him a rabble-rouser, but Fr Bwalya said his campaign has wide support.

  "People agree with our message because it's their own message," he told the BBC's Focus on Africa.

  "The people would have liked the government to go yesterday - but we're a country of laws and there are procedures."

  The priest was arrested in the northern city of Kitwe on Friday when he was distributing his red cards - a symbol borrowed from football, when players are shown a red card when they are dismissed from the game.

  He is encouraging Zambians to honk their car horns and show their red cards on Fridays, to display their displeasure with the government.

  Dozens of protests gathered outside the court during his hearing, and police fired tear gas to disperse them.

  Analysts say he enjoys wide support in Kitwe, an opposition stronghold.

  The priest is spearheading the anti-government campaign, which is being backed by several other groups of activists.  My Take:
  Nawasubiri kina Askofu Kakobe na Fr. Peter; nawasubiri kina Sheikh Omar na Imam Sudi.. sijui kama watayaweza haya...
   
 2. Injinia

  Injinia JF-Expert Member

  #2
  Mar 15, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 850
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Mh, MKJJ unamsubiri nani? Kakobe? I am not sure he has the intellect nor the following.

  Hapo kwa Sheikh na Fr sawa. Shida ni kwamba, wanajaribu halafu wanapigwa chini kwa kuambiwa wanaleta itikadi za kidini kwa kuandika "nyaraka".

  Yaani waTanzania hatujui tunataka nini, mradi "full kujichanganya" kama wanavyosema wenyewe vijana siku hizi.
   
 3. Mag3

  Mag3 JF-Expert Member

  #3
  Mar 15, 2010
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 9,094
  Likes Received: 6,188
  Trophy Points: 280
  Watu kama hawa hawapatikani katika nchi ya amani na utulivu - ingekuwa hapa hivi sasa angekuwa hospitalini akiuguza majeraha ya virungu vya FFU kama si risasi za moto - nchi ya amani na utulivu indeed !.
   
 4. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #4
  Mar 16, 2010
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  zambia ni nchi ya kikristu hawana shida. Hapa Tz akinzisha wa upande 1ja wa shilingi wale wa upande wa pili watachukulia tofauti. Akianzisha mpagani father X na Sheikh Y watamrukia.
   
 5. Peasant

  Peasant JF-Expert Member

  #5
  Mar 16, 2010
  Joined: Sep 27, 2007
  Messages: 3,949
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Wapo waliojaribu at least kutoa waraka wa kuwafunza watanzania haki zao katika ushiriki wa uchaguzi mkuu, lakini matokeo yake walionekana wadini. Unafikiri kwa mfano Pengo afanye hivyo reaction ya watanzania wasiokuwa wakristo/wakatoliki itakuwaje? It's time people forget about their belief and unite for the sake of the country.
   
 6. Selous

  Selous JF-Expert Member

  #6
  Mar 16, 2010
  Joined: Jan 13, 2008
  Messages: 1,322
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Hata wakija CCJ na viongozi wao wa kiislamu wenye nchi watasema WAISLAMU WANATAKA KULETA UDINI.
   
 7. K

  Kachero JF-Expert Member

  #7
  Mar 16, 2010
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 216
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tatizo Tanzania imegawanywa na wananchi wakakubali kugawanyika katika itikadi na udini.Hakuna hata kiongozi mmoja ambaye ameonyesha anamampenzi ya dhati ya nchi hii bila kulalia upande fulani.

  Akipatikana kiongozi mwenye kureprersent interest za watanzania wote kwa ujumla wao, atapata support anayostahili na ndipo anaweza kusumbuana na serikali.Bila support ya kutosha toka kwa wananchi, movement kama ya Fr. Bwalya haitakuwa na maana wala impact kwenye jamii.
   
 8. N-handsome

  N-handsome JF-Expert Member

  #8
  Mar 16, 2010
  Joined: Jan 23, 2008
  Messages: 2,317
  Likes Received: 128
  Trophy Points: 160
  I love this, we can mobilise ourself and let them know that we are tired with them. Tatizo hatuna dhamiri ya dhati kwenye mitima yetu lakini tukiamua twaweza,mie kila Ijumaa nitakua navaa RED tshirt kuprotest against fisadi's wote, SHAME on them. Sijui FFU wataniambia nahatarisha usalama? tu BOYCOTT tu ndio dawa yao, na this year siendi piga KURA (KULA) cause nikushiriki laana zao.
   
 9. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #9
  Mar 17, 2010
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  Unajua kuna ukweli hapa; akitokea kiongozi wa Kikristu kuongoza mabadiliko watasema anafanya hivyo kwa sababu Rais ni Muislamu hivyo kutakuwa na rally behind the president. Akitokea kiongozi wa Kiislamu akitaka kuongoza mabadiliko watasema anafanya hivyo kwa vile Rais ni Muislamu, na wengine watapinga. So.. in Tanzanian religious figures sidhani kama wanaweza kuongoza mabadiliko.
   
 10. RayB

  RayB JF-Expert Member

  #10
  Mar 17, 2010
  Joined: Nov 27, 2009
  Messages: 2,754
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  As things stand ktk Tz hakuna kitakachiwezekana kutokana na matabaka hayo ya udini
   
Loading...