FOX NEWS vs CNN .Fox news number one network dominates CNN and MSNBC together

Natalia

JF-Expert Member
Jul 3, 2011
4,324
1,892
What happened to CNN ?
81963388-0383-4354-88A9-B3DEC4AF8158.png
F0A6B687-EE6E-461A-A36F-B04DADE02956.png
9C8433DB-3D0B-4304-8A48-259E5D132148.png
535DC0B9-78B0-4C36-A614-17CF04948682.jpeg
1B604565-1865-4BE5-8870-6FC2132BC93F.jpeg
E7E93AFB-6843-4FE1-9C98-F0375AD64255.jpeg
 
Nothing happened lakini hiyo inaashiria jambo moja tu! Pamoja na kwamba Trump anapigwa madongo sana lakini 2020 anarudi madarakani! Wazungu kwa maana ya Wazungu, I mean Wazungu! Jina la kiungwana wakijulikana kama White Nationalists ingawaje kimsingi ni White Supremacy, kwa wale wanaojionesha wazi bila kujali na wale wanaojificha kwa ajili ya unafiki tu, wote hao ndio wafuasi wa Trump na ndio watazamaji wakubwa wa Fox News! Na ndio maana, sina shaka hata kidogo, ukitafuta takwimu za kidunia, Fox News hawawezi kuwa juu ya CNN!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Akili tupu hii Mkuu kuwafananisha wapumbavu wa FOX NEWS na CNN wapi na wapi!

Nothing happened lakini hiyo inaashiria jambo moja tu! Pamoja na kwamba Trump anapigwa madongo sana lakini 2020 anarudi madarakani! Wazungu kwa maana ya Wazungu, I mean Wazungu! Jina la kiungwana wakijulikana kama White Nationalists ingawaje kimsingi ni White Supremacy, kwa wale wanaojionesha wazi bila kujali na wale wanaojificha kwa ajili ya unafiki tu, wote hao ndio wafuasi wa Trump na ndio watazamaji wakubwa wa Fox News! Na ndio maana, sina shaka hata kidogo, ukitafuta takwimu za kidunia, Fox News hawawezi kuwa juu ya CNN!
 
Lakini kupitia source mbalimbali 2009 kushuka CNN ilikuwa juu. After ten years tayari ime-drop, wengi wanasema CNN ni waenezaji wazuri wa taarifa za uongo na propaganda.
-
Pia baadhi wanasema Fox anaonekana amepanda kwa sababu ya multi-broadcasting within US.

Na wengine wanadai Fox kutokuwa na ushawishi Ulimwengu kote amejikita US zaidi na CNN amelala upande wa dunia.
 
nje ya mada kidogo:
kwangu mimi CNN, fox na mashirika yote makubwa ya habari yanayomilikiwa na watu wa magharibi, nayachukulia kama propaganda machines ya kuwa brainwash watu wa mataifa mengine kwamba USA ipo vizuri ktk kila nyanja wakati si kweli. na kwa hilo hakika wamefanikiwa.

binafsi my number and favorite international media is RT and aljazeera.
 
Lakini kupitia source mbalimbali 2009 kushuka CNN ilikuwa juu. After ten years tayari ime-drop, wengi wanasema CNN ni waenezaji wazuri wa taarifa za uongo na propaganda.
-
Pia baadhi wanasema Fox anaonekana amepanda kwa sababu ya multi-broadcasting within US.

Na wengine wanadai Fox kutokuwa na ushawishi Ulimwengu kote amejikita US zaidi na CNN amelala upande wa dunia.
Hiyo findings ni ya US peke yake na sio duniani! Ni kweli, kwa US, Fox imepanda sana na inaizidi CNN lakini ukitoka toka tu US, CNN habari nyingine! Kwamba CNN ni waenezaji wazuri wa taarifa za uongo; hiyo ni kauli ya Trump ambayo amekuwa akiirudia mara kwa mara na hivi sasa kauli yake hiyo imedakwa na wafuasi! Kwa kifupi, Trump anaiita CNN kama Fake News; na kama US ingekuwa ndo Tanzania, hivi sasa CNN ingekuwa imetupwa "jela" zamani manake Trump hataki hata kuisikia!
 
Nothing happened lakini hiyo inaashiria jambo moja tu! Pamoja na kwamba Trump anapigwa madongo sana lakini 2020 anarudi madarakani! Wazungu kwa maana ya Wazungu, I mean Wazungu! Jina la kiungwana wakijulikana kama White Nationalists ingawaje kimsingi ni White Supremacy, kwa wale wanaojionesha wazi bila kujali na wale wanaojificha kwa ajili ya unafiki tu, wote hao ndio wafuasi wa Trump na ndio watazamaji wakubwa wa Fox News! Na ndio maana, sina shaka hata kidogo, ukitafuta takwimu za kidunia, Fox News hawawezi kuwa juu ya CNN!
 
Attachments

  • 3157A3E6-DDA5-432E-8E14-2675A1F185F8.jpeg
    3157A3E6-DDA5-432E-8E14-2675A1F185F8.jpeg
    35.8 KB · Views: 12
  • 88152E53-B08A-4469-891D-B450BD3BEDFA.jpeg
    88152E53-B08A-4469-891D-B450BD3BEDFA.jpeg
    66.5 KB · Views: 11
  • D3B50FBF-49BB-49F0-AAC3-23A5C31CE7F9.jpeg
    D3B50FBF-49BB-49F0-AAC3-23A5C31CE7F9.jpeg
    177.7 KB · Views: 12
Hiyo findings ni ya US peke yake na sio duniani! Ni kweli, kwa US, Fox imepanda sana na inaizidi CNN lakini ukitoka toka tu US, CNN habari nyingine! Kwamba CNN ni waenezaji wazuri wa taarifa za uongo; hiyo ni kauli ya Trump ambayo amekuwa akiirudia mara kwa mara na hivi sasa kauli yake hiyo imedakwa na wafuasi! Kwa kifupi, Trump anaiita CNN kama Fake News; na kama US ingekuwa ndo Tanzania, hivi sasa CNN ingekuwa imetupwa "jela" zamani manake Trump hataki hata kuisikia!
 
Attachments

  • 2BC0BBD3-2C48-479E-A279-E176B1D36348.jpeg
    2BC0BBD3-2C48-479E-A279-E176B1D36348.jpeg
    35.8 KB · Views: 12
  • B90C218B-6883-4507-ABBF-7127F0866A77.png
    B90C218B-6883-4507-ABBF-7127F0866A77.png
    42.9 KB · Views: 12
  • 2C693E2E-17AB-47E4-A214-06139E77FCC8.jpeg
    2C693E2E-17AB-47E4-A214-06139E77FCC8.jpeg
    62.9 KB · Views: 10
  • 55455386-29EF-4ED8-9006-C423E4D69B65.jpeg
    55455386-29EF-4ED8-9006-C423E4D69B65.jpeg
    177.7 KB · Views: 12

Attachments

  • 1BD8B184-874E-4645-AA50-4C8EA6763C4A.jpeg
    1BD8B184-874E-4645-AA50-4C8EA6763C4A.jpeg
    66.5 KB · Views: 12
  • D1A3E5B1-5600-40F0-8935-88BCF6CF5E41.jpeg
    D1A3E5B1-5600-40F0-8935-88BCF6CF5E41.jpeg
    35.8 KB · Views: 12
  • FFDF508D-0E09-4251-A447-37D4A40269BB.jpeg
    FFDF508D-0E09-4251-A447-37D4A40269BB.jpeg
    62.9 KB · Views: 13
  • 3FEC52F1-D01F-41A6-AB15-042882A4DA31.jpeg
    3FEC52F1-D01F-41A6-AB15-042882A4DA31.jpeg
    177.7 KB · Views: 12

Attachments

  • 99CD6323-687B-4B49-95FB-FD2679636A20.jpeg
    99CD6323-687B-4B49-95FB-FD2679636A20.jpeg
    66.5 KB · Views: 10
  • F591D4BE-B4F9-454E-8FF4-C55CCD16D203.jpeg
    F591D4BE-B4F9-454E-8FF4-C55CCD16D203.jpeg
    35.8 KB · Views: 11
  • 38DB1B18-1C97-458F-A127-CCDFB50FD5E3.jpeg
    38DB1B18-1C97-458F-A127-CCDFB50FD5E3.jpeg
    62.9 KB · Views: 9
  • 00E02F03-F625-4DA8-8BA4-067D975160ED.jpeg
    00E02F03-F625-4DA8-8BA4-067D975160ED.jpeg
    85.4 KB · Views: 10
  • C2965E5D-8080-4C9F-A7A4-AE41585F326F.png
    C2965E5D-8080-4C9F-A7A4-AE41585F326F.png
    42.9 KB · Views: 12
  • 2401DBD2-1EA5-4F1B-96EF-08276F1A294E.jpeg
    2401DBD2-1EA5-4F1B-96EF-08276F1A294E.jpeg
    177.7 KB · Views: 12
  • Thanks
Reactions: BAK
Natalia,

Kulikoni? Manake naona una-upload ma-screenshot tu bila maelezo! YES? Kuna uhusiano gani wa hizo screenshots unazoweka na mada husika?
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom