Fourth edition guide book

ushahd

Senior Member
Jul 30, 2019
180
101
Wakuu fourth edition guide book walitoa tcu ina maanisha nini wakuu
 
Inamaanisha kuna vyuo ambavyo havikuwepo hapo awali wameviongeza. Pia baadhi ya vyuo ambavyo vilikuwepo lakini kuna kozi zimeongezeka. Kwahiyo ni vizuri zaidi ukapata muda wa kuipitia kama bado upo katika harakati za uombaji wa vyuo. Usiipuuzie.
 
Oooh sawa ila mbona awamu zakuomba zimeisha kwani kuna awamu ya nne
 
Fourth edition ilitoka kabla hata ya third round. Lakini pia bado kuna uwezekano wa kuongeza round ya nne ila pia lolote linaweza tokea cha msingi endelea kufuatilia kwa ukaribu zaidi.
 
Back
Top Bottom