Four Years Later: Unbowed, Untamed and Unapologetic!

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Mar 10, 2006
33,474
39,987
Yes indeed dear friends! It has been four years since we entered into the arena of public discourse in a fashion and manner never seen before; in online debates, political columns in our newspapers, in contribution in TVs and our own netcasting we have put our mark in the thoughts of our people. I know not all and not many, but some. Yes we have.

We didn't know then that we would be facing such immense and incredible political opportunities in our nation nor did we expect that the Tanzanian public will be so receptive of the message of ideological conflict we promulgated then. We didn't know we would inspire people, we will offend some, and in a fashion of our own imagination we dared to go where no one has gone before. For that we are eternally grateful.

When we started on March 1, 2006 our mission was very simple and clear. We wanted to challenge the status quo, expose public corruption, reveal mediocrity and incompetence in public leadership and propose new way of thinking and acting as we try to build a modern African nation; yes, a modern Tanzanian nation. We have simply done that so far.

From the time we dealt with the issue of armed robbery during the disgraced IGP Mr. Omar Mahita's term as the national Chief of Police to the debates that followed Hubert Sauper's Oscar nominated documentary Darwin's Nightmare we stayed our course. How can we forget one of the injustices carried against the Member of Parliament the late Amina Chifupa and the hypocrisy shown at the time? How can we forget the Gov. Ballali masterfully eternal disappearance from the country that gave him so much and owed him even more!? How can we not call to mind our own contribution in the Richmond investigation and later our exclusive revelation about the triangle of corruption in the Dowans saga that our leaders have refused to pursue so far?

What about our failed efforts to assist those young Tanzanian students in Ukraine abandoned by their government and forced to drop from colleges because the government that screwed up their scholarships didn't want to rectify its mistakes? How can we forget in good conscience those words spoken by the then Premier Lowassa as our young people were sleeping outside UK's Embassy in Kiev , "nakula sasa hivi bwana"! or what about those words by President Kikwete that "kama wameshindwa kushughulikia wangeniambia"?

We can go back and revisit with pride and sometimes with sadness and comprehension the issues and courses we championed or dealt with; those which resulted into goodness and others that we simply failed for whatever reason.

In whatever case, we are still standing; proud as before, committed even more, and absolutely unshaken and unbowed. We cannot claim that the mission has been accomplished; nor sir, we cannot. We cannot act as if we have reached that proverbial "mountain top" like others before us, no we haven't. We know we have not changed every single mind and we have not convinced every person and we definitely know that new challenges and new issues still await us in the near future. We are not backing down now! We are groping forward with a determination such as that of a religious zealot.

As long as the challenges remain, so is our dedication to our nation; as long as the corrupt people still want to rule over so is our determination to oppose them; as long as mediocrity and incompetence are accepted and rewarded so is our courage to expose and defeat them. We are not backing down now nor ever!

We do not know what the future has in store for us but we are ready to face it; We have no idea how will all this end, but we know when it ends we will still be holding our heads high, our face straight and our hearts forever joyful.

So my friends, enemies, critics, fans, opponents and those who still live in a continuous state of indecision here we are! Me and those who have supported me, counseled me, stood by me, corrected me and sometimes chastised me we are still owe our love and our allegiance to our nation. We are still forever in the service our people as we continue with the mission.

Yes! It is not over yet, the election year 2010 is not the end of it! Whatever happens the mission still endures, hope survives and faith still lives! as a new generation of leaders is slowly taking place in the corridors of history, curving itself in the national tree of prosperity our people are getting ready. Ready for change that is inevitable and necessary!

Yes, four years later we are unbowed, untamed, unshaken and absolutely unapologetic to none but totally and unconditionally continue to stand with our beloved country and this beautiful land of ours to inspire the rebuilding of a new modern, democratic, developed, and prosperous Tanzanian nation!

The mission endures!

Thank you for your support through the years,

Humbly Yours,

M. M. Mwanakijiji
 
Hongereni sana mmelifanyia Taifa lenu mengi ya kusifiwa .....na endelezeni kazi hii iliyotukuka! Naona na avatar nayo imebadilika
 
Hongereni sana mmelifanyia Taifa lenu mengi ya kusifiwa .....na endelezeni kazi hii iliyotukuka! Naona na avatar nayo imebadilika
ulipotea mkuu!.....(hata hivyo nidokeze uhusiano wa 'mabadiliko ya avator NA HII KITU YA FOUR YEARS LATER na post-reply yako)
 
Yes indeed dear friends! It has been four years since we entered into the arena of public discourse in a fashion and manner never seen before; in online debates, political columns in our newspapers, in contribution in TVs and our own netcasting we have put our mark in the thoughts of our people. I know not all and not many, but some. Yes we have.

thanx mkk,im one of them,i did learn a lot in JF,i hope we(JF) will reach out to those 70% of which i think 80% dont have internet access.
 
Thanks MKJJ for your motivational words

I am also encouraging you by these quotes;

The great and glorious masterpiece of man is to know how to live to purpose. Michel de Montaigne

The significance of a man is not in what he attains but in what he longs to attain. Kahlil Gibran

do not worry about opposition...because

Great spirits have always encountered violent opposition from mediocre minds. Albert Einstein

Mzee Mwanakijiji content nitairudia baadaye mana sasa nina majukumu inabidi niyamalize kwanza.But your new avatar speaks more than a million words..Ndicho kilichobaki sasa tuchapane mikwaju kwa kwenda mbele labda kitaeleweka!
 
I like those last two lines from Einstein!!
 
ulipotea mkuu!.....(hata hivyo nidokeze uhusiano wa 'mabadiliko ya avator NA HII KITU YA FOUR YEARS LATER na post-reply yako)
Mabadiliko ya avator na 4 years ni kwamba leo ni miaka 4 kamili tokea Mwanakijiji ajiunge JF kwahiyo kwa kuadhimisha hilo kabadili avator na kuweka mpya (naamini unaikumbuka ile ya mwanzo). hilo la mwisho nafkili linaeleweka...!
 
Mzee Mwanakijiji content nitairudia baadaye mana sasa nina majukumu inabidi niyamalize kwanza.But your new avatar speaks more than a million words..Ndicho kilichobaki sasa tuchapane mikwaju kwa kwenda mbele labda kitaeleweka!

Yalah!! Tuwachape mikwaju........
 
Mwanakijiji, I believe corrupt people would enjoy working with people of your caliber. Lakini wewe na baadhi ya watu wengine makini mmechagua njia ngumu na yenye vikwazo tele ya kusimama upande ambao wengi tunasita na hatutaki kuthubutu hata kusogelea tukiamni ndio njia pekee ya kuziponya nafsi zetu na dhahama inayoweza letwa na watawala.
Binafsi nimejifunza mengi na naendelea kujifunza kila siku ndani ya jukwaa hili. I believe what you have gone through in life has taught you to become the combatant that you are.
Taratibu tunatoka kule tulikokuwa ambako ilikuwa ni mwiko kusema ukweli hata kama gharama yake itakuwa ni kuumia mpaka kukutwa na mauti. Haya yote hayaji kwa bahati mbaya. Naamini sote tunadeni la kutoa michango yetu ya hali na mali ili hili Taifa liweze kusimama na kusonga mbele kama Taifa la watu waungwana wenye kujari na kuheshimu utu wa kila mtu.
Mungu atubariki sote na alibariki Taifa letu ili tukitimiza sawa wajibu wote siku moja tuyaone yale tunayotamani.
Hongera sana na kila la kheri mkuu
 
Ndahani, nashukuru sana; ukweli ni kuwa yule aliyepewa vingi atadaiwa vingi; Katika maisha yangu haya mafupi nimepewa vingi na mengi na japo mwenyewe sina vingi lakini naamini nadaiwa mengi na vingi.

Katika miaka hii minne tumepata nafasi ya kuzungumza na wengi na kufuatilia mambo mengi; kuna mengi ambayo tunayafanya na ambayo kamwe hayatokei kwenye JF au kwenye mtandao na hayo mara nyingi yanagusa maisha ya watu wa mitaani ambao hata mitandao hawaijui. Haya tunayafanya kwa ushirikiano na watu wengi ambao majina yao milele yamebakia siri; watu ambao wana nafasi zao na hadhi zao na vyeo vyao lakini hawawezi kutokea hadharani na kusimama pamoja nasi.

Wananikumbusha yule Nikodemasi ambaye alimwendea Yesu usiku kwa siri. Siku moja hawa nao watatokea tu hadharani.

Sasa hivi changamoto yetu kubwa ambayo tunajitahidi kuifanyia uamuzi ni "what is the next step" je tuingie kwenye siasa za Tanzania na kugombea nafasi fulani au kuunga waziwazi chama au wagombea fulani? Je, tuendelee kuwa huru na affiliation za chama chochote ili tuweze kumwajibisha yoyote pasipo apprehension ya "uenzetu huu"?

Hivyo, miaka hii minne inatufanya tufikirie sana mwelekeo wa shughuli zetu. Sijui tukiamua kuingia kwenye siasa itakuwa ni jema (maana kuna watu wanatushawishi kuwa ndiyo njia bora zaidi ya kueffect changes) na wengine wanapenda tuendelee kuwa huru namna hii ili tusitatizike na urafiiki wa kisiasa.

Bado tuko kwenye tafakari.
 
Thru JF mkuu Mwanakijiji wewe ni kati ya wachache hapa miliotu inspire vijana wengi hasa wa ughaibuni walau tukaachana na mambo yale ya DarHot na kujikuta tumebadilika ghafla na kuwa more interested na siasa na maendeleo ya nchi na watu wetu.Hiyo 'kitu' yako juu hapo wakati naipitia,nilikuwa naisoma ki speech speech na nikajikuta naifananisha na i have a dream ya MLK jr na kuiiga sauti yake ambayo huwa inapandisha morale sana!
Siyo siri safari bado ni ndefu lakini naamini ipo siku tutafika.Big up mkuu na u just keep it up bila kuchoka wala kuhofia vitisho na chuki za wanadamu.Maybe siku moja sauti yako itamfikia na mjomba angu kule kijijini kwetu Nyamigilo na kumfanya naye abadilike na kuacha kuuza 'utu' wake kwa sh.2000!
 
Hongera sana Mwanakijiji.

Kuna mengi sana uliyotoa ila binafsi sintasahau makali ya "Kasungura," "Ndege ya Uchumi", na "Save Amina"

Laiti watanzania wote tungekuwa na ujasiri wa aina yako, tungeondoa hii mediocrity inayotutesa miongoni mwetu ghafla bin vuu sekunde moja tu.

Matokeo yake yanajulikana
 
It always seems impossible unless it has been done -N.Mandela.

We will keep inspiring change through this noble forum (JF) with vibrant debate to our nation(Tanzania).

Congrats MKJJ for keeping the pace alive.
 
Thanks MM for such an objective four years self evaluation. I wish our leadership had the courage to do the same!! Congratulations and let the flame keep on burning!!
 
Ndahani, nashukuru sana; ukweli ni kuwa yule aliyepewa vingi atadaiwa vingi; Katika maisha yangu haya mafupi nimepewa vingi na mengi na japo mwenyewe sina vingi lakini naamini nadaiwa mengi na vingi.

Katika miaka hii minne tumepata nafasi ya kuzungumza na wengi na kufuatilia mambo mengi; kuna mengi ambayo tunayafanya na ambayo kamwe hayatokei kwenye JF au kwenye mtandao na hayo mara nyingi yanagusa maisha ya watu wa mitaani ambao hata mitandao hawaijui. Haya tunayafanya kwa ushirikiano na watu wengi ambao majina yao milele yamebakia siri; watu ambao wana nafasi zao na hadhi zao na vyeo vyao lakini hawawezi kutokea hadharani na kusimama pamoja nasi.

Wananikumbusha yule Nikodemasi ambaye alimwendea Yesu usiku kwa siri. Siku moja hawa nao watatokea tu hadharani.

Sasa hivi changamoto yetu kubwa ambayo tunajitahidi kuifanyia uamuzi ni "what is the next step" je tuingie kwenye siasa za Tanzania na kugombea nafasi fulani au kuunga waziwazi chama au wagombea fulani? Je, tuendelee kuwa huru na affiliation za chama chochote ili tuweze kumwajibisha yoyote pasipo apprehension ya "uenzetu huu"?

Hivyo, miaka hii minne inatufanya tufikirie sana mwelekeo wa shughuli zetu. Sijui tukiamua kuingia kwenye siasa itakuwa ni jema (maana kuna watu wanatushawishi kuwa ndiyo njia bora zaidi ya kueffect changes) na wengine wanapenda tuendelee kuwa huru namna hii ili tusitatizike na urafiiki wa kisiasa.

Bado tuko kwenye tafakari.
Nakubaliana kabisa na wewe kwamba tunapopewa mengi, basi tujiandae kudaiwa mengi pia. Kwa vyovyote vile ilivyo, watu wanaoweza kujua kwa undani thamani ya kuzibadili fikra zetu ili tujenge jamii bora inawezekana bado ni wachache sana. Lakini haina maana kwamba uchache huo ndio ahueni yetu kwamba mambo yakienda mrama watu wengi hawawezi kujua yanayoendelea.
Kujiunga na siasa inawezekana kama unayo nia, ila nakushauri utafakari vizuri ili ku avoid makosa ambayo wengine wengi waliyafanya na kuishia kuwapigia magoti watawala wakiomba msamaha.
Na mwisho kwa heshima ya hao ambao majina yao yanafichwa kwa siri kubwa, ilhali wanajitoa mhanga kuona nchi inabadilika, nao wana heshima kubwa. Yote ni kheri tu.
Mungu ibariki nchi yetu Tanzania.Amen
 
Back
Top Bottom